Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe link nimfollowKafungua ingine tayari....
Sijakuelewa mkuu kwenye hiyo MK una manisha MAKUU au una manisha kitu gan
Cyo ingine ni nyingine...., Wachaga tabu yenu ndiyo hiyo
unawashwaeArsenal mpooo!??
Bora mange kuliko kushikiwa akili na ccm ....manumbuuuu!!!
mange kimambi kawashikilia akili zenu, mnamuamini kuliko hata wazee!!
Kama ni tishio Bill Oxley anahitajika kwa wakati huu mkuu.Kwani MK ni tishio?
Wa mkoani huyo, wakija wakifika kibamba wanadanganywa wako posta, wanarudi.acha kushabikia mambo ya kishoga hayooo!!!! wewe umepata faida gani ktk hilo???? kama sio ujinga kichwani mwako!!!