Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.
Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.
Tusaidiane mawazo
Sasa kwann na sisi wabongo tusigonge upaireti mkuu? Geti richi bai ene minsi nesesare wanasema wenyewe…Unajua wanademand dola ngapi kwa meli kwnye Pirates
Mkuu wabongo nao hawajalala kama unavyofikiri,si unasikia tunavyotisha kwenye issue ya ngada ?Sasa kwann na sisi wabongo tusigonge upaireti mkuu? Geti richi bai ene minsi nesesare wanasema wenyewe…
Ransom from piracy?Somalia kuna mambo mengi sana na huwezi jua pesa wametoa wapi!
Time time.Je wewe masaa 24 yako unayatumia vipi?.na wao.wanayatumia vipi?Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.
Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.
Tusaidiane mawazo
Kweli mkuu jamaa wana spirt ya kipekee natural spirt.Wasomali ni damu nyingine, acha kabisa hao jamaa, angalia ,,the pirates of Somalia" ndo utaelewa!
Jamaa wanafanya kazi.achana na story kwamba sijui wanateka Meli. Guys hata Kenya wao ndo wanaimilik Nairobi kwa Real estata na biashara zingineSomalia kuna mambo mengi sana na huwezi jua pesa wametoa wapi!
Hapo ni katika kujifarijiWana mitaji ya kuteka meli.. usijifananishe nao