Masikini mjanja
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 232
- 379
Unacho sema ni kweli. Jamaa wana pambana sana na wana Umoja sana nazani Umoja wao ndo siraha inayo wasaidia.Watoto wa Baba hao
Hata Darfur wapo ukienda Mosul utawakuta wana hotel
Torabora wana malori ya kubeba chakula cha UN kwa ajili ya walioathirika na vita
Yaani kama ni survival hawa jamaa hawanaga msalie
Nyie kaeni vijiweni mjadili nani mganga mkali wa kukupa utajiri wakati yeye mwenyewe akitegemea mali yako ili aishi