Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Jamaa wanafanya kazi.achana na story kwamba sijui wanateka Meli. Guys hata Kenya wao ndo wanaimilik Nairobi kwa Real estata na biashara zingine
Wasomali wanapiga kazi balaa, kuna mama bilioner wa kisomali kawekeza Kenya shida tupu, sasa hivi anajenga kiwanda cha sukari uganda analima miwa kijiji hapo uganda kwa ajili ya kiwanda chake..

Vijana wa bongo wanapo nikasirisha ni kujifariji kwa maneno ya kipumbavu, watakwambia hao vijana walikuwa mapirates,

Hakuna mwekezaji anae kuja nchini kwako na hela kwenye mabegi hela zote wanazichukua kwenye mabenk yenu ya ndani...

Vijana waache wasubirie ajira za magufuli na kushinda kwenye vijiwe vya siasa na magrup ya whatsapp,

Tanzania atafika siku 96% ya uchumi wa Tanzania utashikwa na raia wa kigeni
 
Wasomali ni Bright sana...ndio maana hata nchi yao iliharibiwa makusudi na mataifa ya Magharibi sababu walishaproject future ya Somalia wakaona ni tishio.
Wasomali ni watu wenye discpline sana ya Maisha na ndio maana ni wasomali wachache sana tulio nao kwenye Jamii yetu wanaoishi Maisha ya kubabaisha.
Wasomali ni Risk takers wa ukweli sana na wao wako tayaribwafanye lolote mara wanapotaka kitu.
Wasomali wemgi hasa vijana hawana tabia kama za sisi vijana wa Kibantu! Wenzetu wanainuana sana na hakuna dharau kati yao ndio maana wanasonga mbele, sie tunabaguana hata kumiliki simu tofauti tuu au gari tofauti( Ujinga na upumbavu wa Kibantu na Kiswahili).
Wasomali si watu wa kuendekeza Starehe za Kipuuzi!
Msomali hata awe na hela vipi hana asili ya Show Off kama sie! Na msomali haridhiki na vitu vidogovidogo na kujisahau, Kijana wa Kibongo tena graduate anakopa hela anaenda kununua Gari na simu ya kisasa..garo anapaki CCM lakjni hata kusalimia jirani inakuwa ni shida!
Mwisho, wasomali hawana tabia za ubabaishaji!
 
Hawa jamaa ulevi wao ni mirungi, ambayo haiwaleweshi inawafanya kuweza kufikiri vizuri NA kujenga master plans NA huzitekeleza. Wazee wao walikuja hapa nchini enzi ya mkoloni hawajui lugha zaidi ya kisomali NA hawana elimu, waliingi mijini NA vijijini kuanzisha biashara ya maduka, Bucha NA usafiri, wakati wazee wetu wanawaangali NA kuwaomba kazi. Wimbly NA south Hall london wamekamata biashara, Nairobi wamewatoa wahindi kwenye biashara, Minnesota USA ndio usiseme, hata wagombea uraisi lazima wawaendee kuomba kura.

Hawa watu wanajitihada sana
 
Wasomali wanapiga kazi balaa, kuna mama bilioner wa kisomali kawekeza Kenya shida tupu, sasa hivi anajenga kiwanda cha sukari uganda analima miwa kijiji hapo uganda kwa ajili ya kiwanda chake..

Vijana wa bongo wanapo nikasirisha ni kujifariji kwa maneno ya kipumbavu, watakwambia hao vijana walikuwa mapirates,

Hakuna mwekezaji anae kuja nchini kwako na hela kwenye mabegi hela zote wanazichukua kwenye mabenk yenu ya ndani...

Vijana waache wasubirie ajira za magufuli na kushinda kwenye vijiwe vya siasa na magrup ya whatsapp,

Tanzania atafika siku 96% ya uchumi wa Tanzania utashikwa na raia wa kigeni
yeah,mwekezaji mzuri ni yule anaetumia pesa za watu kuwekeza na sio zake,
kuna kitabu kimoja cha Sydeney sheldon,Rising of the star kama sikosei,
kuna kabinti kanaitwa Lara,
kanaishi na mamake nyumba ya kupanga,maisha yao ya hali chini mno,
baba mwenye nyumba daily kuwadai pango,
so mwenye nyumba kaamua kuuza nyumba ile,ilikuwa imechoka choka,
yule binti kumbe uwekezaji umo damuni,
akamfuata huyo baba na kumwambia anataka kuinunua nyumba,hapo hana hata senti,
yule mzee akacheka,wewe binti una hela ya kununua nyumba wewe,

binti kakomaa,na alikuwa chombo sana,huyo mzee kabla alimtongoza na akamtolea nje,

mwenye nyumba kufupisha akakubali kumuuzia,
sasa anaomba pesa ,badala yake binti anamwambia ntakulipa baada ya kuifanyia renovation,

baada ya ubishani sana,mzee akakubali,
binti akasema kwa sasa naomba mkopo nitaulipa with interest ili nipate pesa ya kufanya ukarabati,
mwenye nyumba katoa jicho kwa mshangao,lakini binti alikuwa negotiator mzuri,hatimae mzee kakubali,akatoa mkopo kwa colateral ya nyumba ileile anayouza na ambayo hajalipwa pesa,
binti kakarabati nyumba vedeadly,

akaja kuuza mara tatu ya bei ya nyumba,akalipa pesa ya kununua nyumba,akalipa mkopo na akabaki na pesa nyingi tu,
sasa ndo akaingia rasmi kwenye Reale estate,
ananunua nyumba mbovu anakarabati na kusukuma kwa bei juu,
akawa bilionea mkubwa,akahama soza africa na kwenda New york,
sasa ananua nyumba Manhatan na kurenavate na kuuza ama kupangisha,
akawa na maskyscrapper Canada,London etc.

Hii ni novel tu,but very inspiring ukiisoma
 
Kila kitu plan sio kwamba kutoka somali ndio hawana uwezo hapana utaweza kuta hawaja tumia hata muda wao mwingi huko somali bali ni kuona changa moto na kutaka kuzitatua km a njia ambayo itawanufaisha ila walikuwa na msingi ambao ni pesa so vijana tujipange kwanzaa
 
Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.

Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.

Tusaidiane mawazo

Mahad umemfahamu leo Mkuu!?
Full magumashi! Uliza nini kilitokea baada ya Paradise Holiday Resort kuungua?
Kuna watu wa kuwatolea mifano lakini siyo Mahad na mzee Gured
 
Wasomali wanapita njia zote walizopita Wahindi tofauti yao kubwa ni kuwa Wasomali wanaongea Wahindi ni wasiri sana.

Ilianza biashara vya meno ya tembo mhindi alipiga kwa miaka mingi. Msomali alipoanza dunia ilijua.

Kujilipiua ukimbizi Ulaya Mhindi aliaanza, tokea mmgawanyiko wa India na Pakistan mpaka Iddi Amin kufukuza Wahindi Uganda

Msomali alipoanza hata sisi wamatumbi wa Kyela tulijilipua Kisomali.
 
Nakulaga nao miraa jamaa akili kubwa sana hao,ila umewachomea bila kujua awamu hii matajiri wanatakiwa kuishi kama mashetani
 
Back
Top Bottom