mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wasomali ni Bright sana...ndio maana hata nchi yao iliharibiwa makusudi na mataifa ya Magharibi sababu walishaproject future ya Somalia wakaona ni tishio.
Wasomali ni watu wenye discpline sana ya Maisha na ndio maana ni wasomali wachache sana tulio nao kwenye Jamii yetu wanaoishi Maisha ya kubabaisha.
Wasomali ni Risk takers wa ukweli sana na wao wako tayaribwafanye lolote mara wanapotaka kitu.
Wasomali wemgi hasa vijana hawana tabia kama za sisi vijana wa Kibantu! Wenzetu wanainuana sana na hakuna dharau kati yao ndio maana wanasonga mbele, sie tunabaguana hata kumiliki simu tofauti tuu au gari tofauti( Ujinga na upumbavu wa Kibantu na Kiswahili).
Wasomali si watu wa kuendekeza Starehe za Kipuuzi!
Msomali hata awe na hela vipi hana asili ya Show Off kama sie! Na msomali haridhiki na vitu vidogovidogo na kujisahau, Kijana wa Kibongo tena graduate anakopa hela anaenda kununua Gari na simu ya kisasa..garo anapaki CCM lakjni hata kusalimia jirani inakuwa ni shida!
Mwisho, wasomali hawana tabia za ubabaishaji!
Eti gari wanapaki CCM halaf anajiona bonge la tajiri.