Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

Wasomali ni Bright sana...ndio maana hata nchi yao iliharibiwa makusudi na mataifa ya Magharibi sababu walishaproject future ya Somalia wakaona ni tishio.
Wasomali ni watu wenye discpline sana ya Maisha na ndio maana ni wasomali wachache sana tulio nao kwenye Jamii yetu wanaoishi Maisha ya kubabaisha.
Wasomali ni Risk takers wa ukweli sana na wao wako tayaribwafanye lolote mara wanapotaka kitu.
Wasomali wemgi hasa vijana hawana tabia kama za sisi vijana wa Kibantu! Wenzetu wanainuana sana na hakuna dharau kati yao ndio maana wanasonga mbele, sie tunabaguana hata kumiliki simu tofauti tuu au gari tofauti( Ujinga na upumbavu wa Kibantu na Kiswahili).
Wasomali si watu wa kuendekeza Starehe za Kipuuzi!
Msomali hata awe na hela vipi hana asili ya Show Off kama sie! Na msomali haridhiki na vitu vidogovidogo na kujisahau, Kijana wa Kibongo tena graduate anakopa hela anaenda kununua Gari na simu ya kisasa..garo anapaki CCM lakjni hata kusalimia jirani inakuwa ni shida!
Mwisho, wasomali hawana tabia za ubabaishaji!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti gari wanapaki CCM halaf anajiona bonge la tajiri.
 
Tembea maeneo yote ya starehe alafu angalia wasomali utawakuta wangapi baada ya hapo ndio utapata jibu kwa nini hawa watu wanatusua kuliko sisi!
Wasomali in % ngapi ya Total Population TZ? Ni nadra Sana kuwapata sehemu tajwa
 
Pamoja na huo unadra wao, hata ukienda ukienda kwenye Community wanazoishi wasomali ni kwamba sio watu wa kuendekeza starehe za kipumbavu!
 
Dini pendwa haiendekezi starehe tizama harusi hats misiba yao
 
watu wanahela alafu wanaenda somalia kwenye vita vya enzi na enzi,,,,!!
Kama ndugu si watawasalimia tu hata kwa simu.
Yani kabisa wanatoka pepo ya amani TZ wanaenda huko somalia,
kama kutembea si wanahela wangeenda hata states au paris,wakale bata huko,
Mwenyezimungu awarehemu.
 
siunajua wale wa 'born here, die here'
 
sidhani kama wamezaliwa Mogadish ila yawezekana wamezaliwa hapa ila baba zao walishajenga foundation nzuri, tusilaumiane cha msingi tuongeze bidii
 
Ona mshaanza majungu.
Wale hawawazi kuajiriwa kwa muhindi,Sasa hapo amezuia vipi ajira yako ya muhindi?
Hahah wanajua hii nchi sio yao so hata huko serikalini hawaajiriki wala nini,wanaamua kuchacharika tu mwanzo mwisho.
 
Baba yao alishawahi kua waziri huko kwny serikali ya Somalia miaka hio.
sidhani kama wamezaliwa Mogadish ila yawezekana wamezaliwa hapa ila baba zao walishajenga foundation nzuri, tusilaumiane cha msingi tuongeze bidii
 
Msomali ila kufanya magumashi hyo so msomali

Ova
 
Pamoja na huo unadra wao, hata ukienda ukienda kwenye Community wanazoishi wasomali ni kwamba sio watu wa kuendekeza starehe za kipumbavu!
Issue syo starehe..... Source ya income zao unazijua lakini

Ova
 
watu wanahela alafu wanaenda somalia kwenye vita vya enzi na enzi,,,,!!
Kama ndugu si watawasalimia tu hata kwa simu.
Yani kabisa wanatoka pepo ya amani TZ wanaenda huko somalia,
kama kutembea si wanahela wangeenda hata states au paris,wakale bata huko,
Mwenyezimungu awarehemu.
Huko ndiko Kuna michongo ya Hela Sasa
Unafikiri fedha zinapopatikana na utekaji wa meli nk fedha hzo zinaingizwa kwenye mzunguko
Watu wanapewa mitaji wawekeze

Ova
 
sidhani kama wamezaliwa Mogadish ila yawezekana wamezaliwa hapa ila baba zao walishajenga foundation nzuri, tusilaumiane cha msingi tuongeze bidii
Swali vyanzo vya fedha zao unazijuaaa lkn

Ova
 
Back
Top Bottom