Starehe ni sehemu ya maisha ya binadamu aliyefanikiwa kiuchumi &kiroho .....Tembea maeneo yote ya starehe alafu angalia wasomali utawakuta wangapi baada ya hapo ndio utapata jibu kwa nini hawa watu wanatusua kuliko sisi!
Ila Kuna kingine pia nimegundua kwamba ukitoka nje ya nchi yako unakuwa na exposure na added advantages nyingi either iwe kibiashara au kikazi kuliko ukiwa ndani ya nchi yako otherwise labda uwe fisadi au tapeli.
Ndani ya nchi yako kadri unavyozidi kuwa great thinker na kuthink nje ya box ndio kadri unavyozidi kugundua weaknesses za systems zetu na kuface barriers/hardship.
Hii kitu nimejifunza imagine Kuna kipindi nilitoka nikaajiriwa nchi jirani just kwa junior/middle level.
Maisha niliyoishi kule ni ya kifahari sana kwani nilikuwa nikienda napewa nyumba au kulipiwa hotel uzunguni na pia naendeshwa kwenye landcruiser hata nikienda saloon kunyoa,mshahara mzuri na posho za kutosha hadi zingine unazisahau kwenye akaunti.
Lakini kwa level hyo hyo nikija kufanyia kazi huku bongo naonekana kapuku tu hata vitz ya kutembelea sipewi nagombea daladala Kama za mbagala.
Waswahili hamkosi sababu, Wasomali Kokote waliko na utakapowakuta ni wapiganaji.. kama ulikuwa hujui hata Europe na USA hadi Canada Wanakimbiza sana kwenye BiasharaIssue syo starehe..... Source ya income zao unazijua lakini
Ova
Inategemea ni Starehe zipi! Ninazozungumzia mimi ni hizi Starehe za Kipuuzi.Starehe ni sehemu ya maisha ya binadamu aliyefanikiwa kiuchumi &kiroho .....
.... km hufanyi starehe yoyote means umefanikiwa kiuchumi tu , kiroho bado ni fukara/masikini kupita kiasi + your life is meaningless.
Kwa hyo mkuu Kuna starehe za akili na starehe za kipuuzi?Inategemea ni Starehe zipi! Ninazozungumzia mimi ni hizi Starehe za Kipuuzi.
Uyo Mahad ana kaka yake anaitwa Mohamed Nur aligombèa uraisi uko somalia na ànaishi hapa TZ amewekeza hapa ana kampun yaķe pale Airport cargö terminal. Hawa jamaa wanaspirit na asīli ingawa nchi yao haielewekiwatu wanahela alafu wanaenda somalia kwenye vita vya enzi na enzi,,,,!!
Kama ndugu si watawasalimia tu hata kwa simu.
Yani kabisa wanatoka pepo ya amani TZ wanaenda huko somalia,
kama kutembea si wanahela wangeenda hata states au paris,wakale bata huko,
Mwenyezimungu awarehemu.
Endelea kujifariji mkuu ni vizuri pia
Kama hao wasomali wako wana "kipaji" mbona nchi yao ni shithole?
Nmekaa nao Sana ndolaWaswahili hamkosi sababu, Wasomali Kokote waliko na utakapowakuta ni wapiganaji.. kama ulikuwa hujui hata Europe na USA hadi Canada Wanakimbiza sana kwenye Biashara
Sasa kwann na sisi wabongo tusigonge upaireti mkuu? Geti richi bai ene minsi nesesare wanasema wenyewe…
tofauti na mswahili wa kisukuma ana wivu kuvunjia wenzake nyumba na kutaka waishi kama mashetaniNetwork
Network
Network
Hawa jamaa wana network kali saana
msomali wa ilala leo ana network ya wasomali wenzie wa nje zaidi ya nchi 20 so wana Import BUSINESS IDEAS always money comes from ideas and experience
Nipe connection mkuu nataka kuoa msomali nijilipue tuWasomali ni wapambanaji sana,iwe kihalali au kwa magumashi.nina marafiki wengi wakisomali,wanawake wao ni majasiri kuliko hata wanaume wa kibongo.
Akili za wabongo zitaishia kusema wanapata fedha kutokana na ugaidi au pirates hatuendi mbali zaidi ya hapo na hapo ndipo wenzetu wanapotuacha, fursa zipo nyingi ila hatuzioni wao wanakuja kutoka kwao kwenye matatizo wanapofika huku wanapiga fedha tu.
Hamna upuuzi hapo kaongea ukweli ulio dhahiri....fanya uchunguzi utajuaMTAZAMO WA KIPUUZI KABISA HUU,PIGA KAZI KIJANA AU NENDA NA WEWE HUKO SOMALIA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Real estate KAHAMA?
Mtaji baba.Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.
Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.
Tusaidiane mawazo
Really?Hiyo Victoria plaza wako share na shirika la nyumba mkuu..