Masikini mjanja
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 232
- 379
Unacho sema ni kweli. Jamaa wana pambana sana na wana Umoja sana nazani Umoja wao ndo siraha inayo wasaidia.Watoto wa Baba hao
Hata Darfur wapo ukienda Mosul utawakuta wana hotel
Torabora wana malori ya kubeba chakula cha UN kwa ajili ya walioathirika na vita
Yaani kama ni survival hawa jamaa hawanaga msalie
Nyie kaeni vijiweni mjadili nani mganga mkali wa kukupa utajiri wakati yeye mwenyewe akitegemea mali yako ili aishi
True mkuuWasomali ni wapambanaji sana,iwe kihalalai au kwa magumashi.nina marafiki wengi wakisomali,wanawake ni majasiri kuliko hata wanaume wa kibongo.
Endelea kujifariji mkuu ni vizuri piaUnajua wanademand dola ngapi kwa meli kwnye Pirates
Hi titimundaWasomali ni wapambanaji sana,iwe kihalalai au kwa magumashi.nina marafiki wengi wakisomali,wanawake ni majasiri kuliko hata wanaume wa kibongo.
Mkuu ndo mwisho wa kuwaza kwetu sasa tufanyeje?Akili za wabongo zitaishia kusema wanapata fedha kutokana na ugaidi au pirates hatuendi mbali zaidi ya hapo na hapo ndipo wenzetu wanapotuacha, fursa zipo nyingi ila hatuzioni wao wanakuja kutoka kwao kwenye matatizo wanapofika huku wanapiga fedha tu.
MTAZAMO WA KIPUUZI KABISA HUU,PIGA KAZI KIJANA AU NENDA NA WEWE HUKO SOMALIASomalia kuna mambo mengi sana na huwezi jua pesa wametoa wapi!
Vijana wa bongo wapo sana tu,hiyo ni sekta moja wapo tu,ukitaka kujua vijana wabongo wanavyofanya makubwa,chungulia kidogo kwenye sekta ya telecom na mawasiliano,yapo makampuni kibao ya vijana wazawa 30+years,wanapiga hela kibao,Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza inakuwaje vijana wa kisomalia kama hawa wanatoka mogadishu wanakuja na kufanikiwa hapa hapa kiasi hiki lakini sisi tupo tu wala hatuzioni hizi fursa sana sana , vijana wamebaki kusubiria ajira.
Kweli hii ni changammoto kubwa sana kwa nchi yetu.
Tusaidiane mawazo
Real estate KAHAMA?Vijana wa bongo wapo sana tu,hiyo ni sekta moja wapo tu,ukitaka kujua vijana wabongo wanavyofanya makubwa,chungulia kidogo kwenye sekta ya telecom na mawasiliano,yapo makampuni kibao ya vijana wazawa 30+years,wanapiga hela kibao,
Nenda pande za kahama,kalumwa,busolwa Shinyanga,kanda ya ziwa hiyo,vijana wanapiga shughuri za madini,na real estates hatari sana,
Usitishwe na hao wenzetu wasomali,tunakubali ni wapambanaji,kama wakinga,wa chaga,
HahahaaaMTAZAMO WA KIPUUZI KABISA HUU,PIGA KAZI KIJANA AU NENDA NA WEWE HUKO SOMALIA
Yaani nimetembea nchi zaidi ya 20 sijawahi kuona msomali anaomba omba yaani utawakuta ni mishemishe ya utafutaji tuUnacho sema ni kweli. Jamaa wana pambana sana na wana Umoja sana nazani Umoja wao ndo siraha inayo wasaidia.
Sijawahi lumumbaa mkono ila kwa hili naku support hawa Jamaaa Wanajua sana kutakasa pesa......na kuzifanyia Mambo mengineWasomali ni damu nyingine, acha kabisa hao jamaa, angalia ,,the pirates of Somalia" ndo utaelewa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unawaponza sasa maana zee la kamera zee la kupozwa litawazengea sasa hivi na kuwachomekea ishu yoyote mf kutelekeza watoto ili lipate pasu pasu
Hahaaa bora umemwambia aisee hiyo damu sio kabisa.Wasomali ni damu nyingine, acha kabisa hao jamaa, angalia ,,the pirates of Somalia" ndo utaelewa!