Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.
Naona watani Chagga vs Pare
Hongereni sana