Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Ni wa kuhurumia aisee kwa karne hii ambayo hata msomi anaonekana zoba, sidhani kama ni jambo la kupewa kipaumbele saaana na kuonekana big dealShangaa na wewe na wengine wameenda mbali zaidi kuhusisha na makabila yao karne hii ya 21, miaka mingine yote haikuwa habari inawezekana kwa sababu hawakutoka 'kwao'
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app