Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

Ma-future jobless wengine wameingia mtaani

Hao hakuna jobless hapo. Huyo wa uhandisi anapewa kazi udsm kama tutorial assistant. Huyo wa accounting big 4 auditing firms ambazo ni kpmg , pwc, ernst & young, na delloitte zimeshampa kazi. Hakunaga best student wa accounting wa udsm ama mzumbe anaekosa kazi miaka yote.

Kazi tunakosa kina sisi na gpa zetu za kuchechemea. Sio hao
 
Huyo Irene msengi naona hata form six aliongoza

IMG-20211016-WA0028.jpg
 
Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.

Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,

Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.

Naona watani Chagga vs Pare

Hongereni sana

View attachment 1976838
View attachment 1976857
Hawana chura wote. kibongo bongo watazidiwa mafanikio na felia mmoja mwenye kalio kubwa.
 
Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.

Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,

Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.

Naona watani Chagga vs Pare

Hongereni sana

View attachment 1976838
View attachment 1976857
Nimempenda irene..kanaonekn kana aibu sn 6×6
 
Hawa ndo wakuoa sasa...sio makima yanayojua kudanga tu na kupiga vizinga...toto zina akili hizo nadhani hata papuchi zako hazijatembea kilomita nyingi😁😁😁
kama huna pesa ni matatizo palepale tu wanawake wanataka kuhudumiwa hata akiwa waziri bado huduma utatoa wewe kidume ata kama ni mwalimu wa primary
 
Kuna wapuuzi wanasema gpa kapewa kwa papuchi.


Hivi udsm unaweza pata first class kisa unahonga papuchi. Hiyo papuchi utahonga watu wangapi? Maana mfumo wa udsm unahusisha watu wengi sana kila sehemu
Kweli mkuu
 
Ila isije ikawa sehemu binafsi zimeumizwa vibaya in the process 🤷🏽‍♂️
Akiwa na GPA kubwa kapewa, Akifeli hana uwezo, Akiwa na simu/gari kali kuliko yako basi kuna jamaa kampa tu, Familia yake ikisimama vizuri basi ni mume wake ndie anemsaidia vinginevyo hamna kitu, Akivaa vizuri anadanga, akiwa Raisi ni Katiba tu yeye hamna kitu. 😊
😊 hizi ndo habari za vijiwe vya kiumeni.
 
Hawa ndio wanatakiwa wajiunge kwenye majeshi yetu kama vile polisi, jwtz, magereza, wazee wa suti nyeusi ili kuleta weledi kwenye majeshi
Waje jeshini tena 😂
😂 😂 😂 😂 😂 .Yani binti kang'aa vile kina nanii si watakuwa wanauana , wawaulize wenzao na wao pia yawezekana walienda kwa muujibu.
 
Back
Top Bottom