Leo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.
Naona watani Chagga vs Pare
Hongereni sana
View attachment 1976838
View attachment 1976857
Masha love mbona ana GPA ya 4.9Hawa ndo wakuoa sasa...sio makima yanayojua kudanga tu na kupiga vizinga...toto zina akili hizo nadhani hata papuchi zako hazijatembea kilomita nyingi😁😁😁
Bonge ya jichoLeo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.
Naona watani Chagga vs Pare
Hongereni sana
View attachment 1976838
View attachment 1976857
Mnawatangaza? Subirini muoneLeo katika Mahafali ya UDSM, Hawa Mabinti ndio Wamekuwa Wanafunzi Bora Kupita wanafunzi Takribani Elfu 4 na wote wamepata GPA ya 4.7.
Wa Kulia anaitwa Bi Irene Cristopher Msengi aliyefuzu Digrii ya Awali ya Biashara katika Uhasibu,
Wa kushoto anaitwa Bi Edina Davis Meela aliyefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi Katika Uhandisi Kemikali na Usindikaji.
Naona watani Chagga vs Pare
Hongereni sana
View attachment 1976838
View attachment 1976857
Ila isije ikawa sehemu binafsi zimeumizwa vibaya in the process 🤷🏽♂️Wanawake kwasasa wapo juu sana ,imagine dada amepiga GPA 4.7 Bsc in Chemical processing.
Duh kumbe!Masha love mbona ana GPA ya 4.9
[emoji851]Ila isije ikawa sehemu binafsi zimeumizwa vibaya in the process [emoji2375]
Ukioa hao utapata tabu sana!Hawa ndo wakuoa sasa...sio makima yanayojua kudanga tu na kupiga vizinga...toto zina akili hizo nadhani hata papuchi zako hazijatembea kilomita nyingi[emoji16][emoji16][emoji16]
Wanawake kwasasa wapo juu sana ,imagine dada amepiga GPA 4.7 Bsc in Chemical processing.
COET kule mambo yao ni simple sana hakuna kukariri ni kuelewa tu halafu unaendelea na mambo yako mengine tofauti na CONAS mambo magumu kukariri kwingi na mambo yanapotea kichwani