Huyo Irene msengi alikua class mate wangu hapo udbs,kwa kweli hako kabinti kako vizuri sana kichwani.na kama sikosei kalipewa scholarship ya BOT kutokana na kufanya vizuri form 6.hongera zake kwa kweli,amevunja record ya miaka mingi kwani huwa ni vigumu sana kwa mtu kutoka udbs hasa hiyo bachelor of commerce in accounting kuongoza chuo kizima kama ilivyotokea mwaka huu,wengi huwa wanapata first class za kawaida tu.