Mkuu
Wala haina uhusiano na juhudi zozote,maana alikua na wenzake wanasoma masaa mengi na kwa juhudi zaidi yake,ila yeye kafaulu zaidi
Hiyo ni biological lottery,ni kama mtu kazaliwa mrefu ni mrefu tu hata useme ufanye mazoezi sana na wewe uwe mrefu,haiwezekani
Hizi extraordinary offshoot za academic performances infact ni kutokana na wingi wa brain volume na discipline kidogo tu....ndio maana hata walale vipi kesho akiingia kwenye pepa ni 100%
You cant teach height,height is height,it is a biological lottery toka kwa wazazi wao