Mahafali UDSM: Hawa ndiyo Wanafunzi wa Kike waliopata ufaulu Mzuri

Wanawake kwasasa wapo juu sana ,imagine dada amepiga GPA 4.7 Bsc in Chemical processing.
Wanawake wapo njema kitambo tu, provided wanapata mazingira mazuri!!

Hata sisi class kwetu wakati tupo chuo, ingawaje wanaume ndio walikuwa wanakaa juu lakini by average wanawake walikuwa wanafanya vizuri kuliko wanaume!

Akina chige ilikuwa tukipata boom tu, hatuonekani chuo wala hostel, hadi upigiwe simu kwamba kesho kuna paper! Sasa unaanzaje kushindana na mtoto wa kike ambae ame-settle!!

Huu ujinga ujinga sitasahau mwaka wa pili ulisababisha karibu term mzima lunch yangu iwe chai na chapati lakini ndio mwaka ambao nilifaulu zaidi kwa sababu nilikuwa nabaki chuo!!
 

Makabila hayahusiki hapo mkuu.

Alafu Msengi ni mnyiramba.
 
Safi kabisa!
 
Ndo maana wako wengi ktk ajira huko TRA NA BOT
 
Hawa ndo wakuoa sasa...sio makima yanayojua kudanga tu na kupiga vizinga...toto zina akili hizo nadhani hata papuchi zako hazijatembea kilomita nyingi😁😁😁
Hawana tako so obviously hamna mtongozo kwa sana so wanapata muda wakutosha wakusoma. Sasa wee mwanamke tako sura hips unazo kila baada ya nusu saa mtongozo huo muda wakusoma utautoa wapi.
Na kwa nini usome sana wakati umeshajaliwa natural assets
 
Waje wagundue vitu, mitambo, madawa nk sio kupata GPA ya 4.7 tu basi wanaajiliwa wanasoma master phd kisha wanazeeka bila ugunduzi wowote.
 
Waje wagundue vitu, mitambo, madawa nk sio kupata GPA ya 4.7 tu basi wanaajiliwa wanasoma master phd kisha wanazeeka bila ugunduzi wowote.
 
Hawa watakuwa wapo makini, hawana ule ulimbukeni wa kukesha Fb, Insta, nk
 
Ningeshauri wapate bonus ya kusomeshwa masters kwenye discipline zao, ni rasilimali kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…