mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Bila shaka
Kwa hiyo mahakama imefanya makosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mahakama imefanya makosa?
Rais yeye huwa hafanyi makosa.Bila shaka
Rais yeye huwa hafanyi makosa.
Yeah right. Kwasababu ni malaika aishie mbinguniHafanyi
Hao hawakutaka kutoa kidogo kitu hapo mpakani, wangetoa wangepitishwa na kuandikiwa hawana corona.Mdharau mwiba ....... Kama hapa kwetu leo madereva nane wamerudishwa kutoka Uganda wakidhani kuwa na Corona halafu bado tunachukulia serias- Huyo Dereva ametoka Dar-Pwan-Morogoro-Dodoma-Singida-Tabora(Igunga/Nzega)-Shinyanga(Kahama) Mpaka anafika Boda halali labda kwenye nyumba za kulala wageni, hali hafanyi chochote ili asikutane na watu?