Mdharau mwiba ....... Kama hapa kwetu leo madereva nane wamerudishwa kutoka Uganda wakidhani kuwa na Corona halafu bado tunachukulia serias- Huyo Dereva ametoka Dar-Pwan-Morogoro-Dodoma-Singida-Tabora(Igunga/Nzega)-Shinyanga(Kahama) Mpaka anafika Boda halali labda kwenye nyumba za kulala wageni, hali hafanyi chochote ili asikutane na watu?