Mahakama haiangalii public sympathy bali facts tu

Mahakama haiangalii public sympathy bali facts tu

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Leo hii Wakili Katuga anacharaza mtu kwa fimbo za ushahidi tu na sio kelele za OYA OYA
 
Leo Nimejua Tundu Lissu kachanganyikiwa na hii kesi atasokotwa kitanzi hayuko sawa kiakili nilijua baada ya ruling kutoka kuwa hana kesi ya kujibu atakinunikisha palepale kwa kuanza kujitetea na kuiambia mahakama kwanini isimfunge matokeo yake anaenda kutaja mashahidi ambao hawawezi hata kumbeba kwenye kesi yake.
 
Nilichogundua Wala hujafuatliwa walichosema majaji. Majaji wamesema hawajazingatia uzito wa ushahidi uliotolewa bali wameangalia kwamba hakuna ubishani kwamba maneno yalitamkwa. Sasa ni Lissu kuthubitisha kwamba hayo maneno hayakuwa na Nia ya uhaini.
 
Mtageuza maana sana illa mwisho utafika
 
Kwa hali hii machafuko yatatokea sana tu hadi pale mtakapotolewa madarakani kwa nguvu.
 
Leo hii Wakili Katuga anacharaza mtu kwa fimbo za ushahidi tu na sio kelele za OYA OYA
Hujaweka vizuri, sema mahakama za ccm. Hizo mahakama zinaendeshwa na wale majaji kama wa tume fake ya uchaguzi waliomtangaza Samia kwa kura 31m za uongo wa wazi.
 
Leo hii Wakili Katuga anacharaza mtu kwa fimbo za ushahidi tu na sio kelele za OYA OYA
Hizo hizo facts ndizo zinatakiwa ziwapeleke walioitwa mahakamani kutoa ushaidi. Sababu Sheria inatuweka site katika mizania sawa.
 
Back
Top Bottom