Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani yule jamaa sijui hata kama amesoma. halafu linajitetea kuwa lilikua sahihi. Anayewateua ana-entertain hivyo vitu ndio maana vinajirudia na usishangae baada ya miaka 2 kuna mjinga mwingine atafanya tena.Hehehe waha kuchekesha wewe, Mtanzania ndio mtu wa mwisho kuongea mambo ya justice, huko kwenu DC anatuhumu na kutoa hukumu na kuitekeleza kwa kupiga wana biashara viboko, tena kwa kuwapangisha foleni mmoja baada ya mwingine, ila ujamaa ni laana, mumefanywa waoga kichizi kwa kweli.