Mahakama imemuachia huru Julius Wambua baada ya kusota jela miaka 8 kwa ushahidi wa uongo wa kosa la kumbaka Binti yake

Mahakama imemuachia huru Julius Wambua baada ya kusota jela miaka 8 kwa ushahidi wa uongo wa kosa la kumbaka Binti yake

Hehehe waha kuchekesha wewe, Mtanzania ndio mtu wa mwisho kuongea mambo ya justice, huko kwenu DC anatuhumu na kutoa hukumu na kuitekeleza kwa kupiga wana biashara viboko, tena kwa kuwapangisha foleni mmoja baada ya mwingine, ila ujamaa ni laana, mumefanywa waoga kichizi kwa kweli.
Yaani yule jamaa sijui hata kama amesoma. halafu linajitetea kuwa lilikua sahihi. Anayewateua ana-entertain hivyo vitu ndio maana vinajirudia na usishangae baada ya miaka 2 kuna mjinga mwingine atafanya tena.
 
Back
Top Bottom