johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nchi ya kusadikika!mahakama ndio wanaotafsiri sheria zinazotungwa na bunge,yes mahakama inao uwezo huo na sio bunge, but maamuzi ya speaker ndungai ndio alibadilisha mfumo mzimaNakumbuka wakaty Tundu Lisu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.
Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?
Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Kwahiyo Bunge haliwezi kuamua hatma.ya akina Halima Mdee na wenzake?Nchi ya kusadikika!mahakama ndio wanaotafsiri sheria zinazotungwa na bunge,yes mahakama inao uwezo huo na sio bunge, but maamuzi ya speaker ndungai ndio alibadilisha mfumo mzima
Inatumika weledi wa kitanzania🏃🏃🏃Mambo ya aibu , watu hawaoni umuhimu wa kuunda legacy na kuilinda kwa gharama yoyote ..
Kama nchi tuna aibika tunaonekana watu wa hovyo hovyo.. haya mambo wanaofanya resereach ndio huyatumia na kufanya nchi ionekana ina matahira wengi kuliko wenye akiliInatumika weledi wa kitanzania🏃🏃🏃
Nakumbuka wakaty Tundu Lisu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.
Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?
Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Walipaswa wapishe kwanza hadi mahakama itapomaliza kama watarudi au lah.. zipo kesi za marejeo ambazo zipo wazi sanaaKwahiyo Bunge haliwezi kuamua hatma.ya akina Halima Mdee na wenzake?
Hapo ndio ujue serekali ni sehemu ya hii michezo michafu dhidi ya Cdm. Halafu Mbowe anaonyesha ukondoo wa kijinga kwa kwenda ikulu ili kujionyesha ni mstaarabu.n
Walipaswa wapishe kwanza hadi mahakama itapomaliza kama watarudi au lah.. zipo kesi za marejeo ambazo zipo wazi sanaano
Kuna ile dhana ya Wabunge MahakamaWalipaswa wapishe kwanza hadi mahakama itapomaliza kama watarudi au lah.. zipo kesi za marejeo ambazo zipo wazi sanaa
Kuna kiburi ( Pride ) juu ya hili sakata. Kwamba mtafanya nini, sisi ndio sisi.. ila kama hiyo isingekuwepo issue imeisha zamaani sanaKuna ile dhana ya Wabunge Mahakama
Hapo linaloaibika ni bunge au Chadema?Kuna kiburi ( Pride ) juu ya hili sakata. Kwamba mtafanya nini, sisi ndio sisi.. ila kama hiyo isingekuwepo issue imeisha zamaani sana
Bunge halijaamua, kwa Lissu Bunge lilishaamuaNakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika.
Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze?
Huku siyo kuingilia Uhuru wa Bunge?!!
Aibu ipo kwa bunge na nchi nzima, tunaoneka tunapitisha watu wa ajabu ajabu kushika nafasi muhimu sana katika nchiHapo linaloaibika ni bunge au Chadema?
RIP Magufuli
Huo sio utaratibu, wameenda kuzuia uamuzi wa chadema ambao umekiuka katiba yaoWalipaswa wapishe kwanza hadi mahakama itapomaliza kama watarudi au lah.. zipo kesi za marejeo ambazo zipo wazi sanaa
Katiba inazuia uhuni katika maamuzi ya vyama vya siasaKwani Wabunge wa viti maalumu wanapatikanaje kwa mujibu wa Katiba ya JMT?
Taarifa ya akina Mdee kufungua kesi ilifika mapema kabla ya barua ya Chadema, ndio shida ya kumtuma Benson Kigaila, badala aondoke na basi la kwanza,kwa sababu ya uzee akaamka saa nne asubuhiKwanini halijaamua wakati barua ya Chadema iko mikononi mwao?
Kawaulize CCM wenzakoKwanini halijaamua wakati barua ya Chadema iko mikononi mwao?
Hali ni mbaya hapo Ufipa st!Watanzania tudai katiba hali ni mbaya