HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Ni wakati sasa mahakama za Tanzania kufanya mabadiliko ktk sheria zake ili kuwezesha hati za wito kupelekwa na kupokelewa kwa whatssapp na sms kama njia ya haraka na sahihi na yenye kupunguza gharama kwa mdai na mdaiwa kama ilivyo kwa e.mail.
Mahakama haiwezi kujinadi kuwa imeingia kwenye mahakama mtandao wakati huo kuna baadhi ya mahakimu hawakubali whatsapp na sms kutumika.
Wananchi wengi wanashindwa kugharamia gjarama za upelelaji hati za wito kwakuwa wapeleka wito wanatatikiwa kulipwa nauli,posho na hela ya upelekaji ambayo ni kubwa sana.
Jaribu kufikiria mtu anadai 250,000/= kesi iko mtwara mpelekewa wito/summons yuko mwanza je, ataweza kweli huyu mtu kutafuta haki yake?yaani gjarama inakuwa kubwa kuliko deni na kama mtu kashindwa kulipa deni ataweza kulipa deni na gharama husika?
Jambo la msingi hapa ni ujumbe kufika sasa.