Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mboni husemi hiyo sirikale yako nayo ispoangalia na huu usanii wao wanaofanya watapoteana?Hakuna awezaye kupinga wito wa Mahakama m, hakuna na hatakuwepo. Late president Ben Mkapa ashawahi kuitikia wito wa Mahakama...
huu mchezo wasipokaa vyema CHADEMA Watakimbiana MAHAKAMANI.
Ila uwepo wa KIBATALA ni hatari, jamaa ana akili kubwa sana na anapenda sana kutumia Akili yake kama silaha yake
Sabaya alimvamia Mbowe na mabunduki halafu leo ty ndiye shahidi. Ndiyo maana huwa hizi kesi serikali huwa wanatepwetaM
Dhuruma tu, watawala wanatenda DHURUMA sana.
Samia asome alama za nyakati.
wakifaga wanataka tuwe wamoja , tuwalilie . MaCCM yakifa mimi nafurahia sana.
Aisee elimu muhimi .............😀
Hakuna lolote akili kubwa ipi?Hakuna awezaye kupinga wito wa Mahakama m, hakuna na hatakuwepo. Late president Ben Mkapa ashawahi kuitikia wito wa Mahakama...
huu mchezo wasipokaa vyema CHADEMA Watakimbiana MAHAKAMANI.
Ila uwepo wa KIBATALA ni hatari, jamaa ana akili kubwa sana na anapenda sana kutumia Akili yake kama silaha yake
Wake kumtetea Mbowe jamaa Peter Kibatala anajua anachokifanyaDa huyu kibatara, balaa. IGP na Sabaya waje watoe ushahidi! Ushaidi wa kumtetea nani, Mbowe au Jamhuri?
MboweDa huyu kibatara, balaa. IGP na Sabaya waje watoe ushahidi! Ushaidi wa kumtetea nani, Mbowe au Jamhuri?
Gaidi na jambazi waungane?mimi nathani mbowe na sabaya waungane then walipize machungu kwa waliowauza na kuwachezea akili
NdioGaidi na jambazi waungane?
Wewe ndo unakwama subiriaKibatala anakwama wapi? Mbona hajaiomba mahakama imwite mh sana rais SSH atoe ushahidi? Huyu si ndiye ariropoka kule bbc kuwa Mbowe ni gaidi?
Naona hili kama pigano la Twaha Kiduku na Dullah Mbabe round ya kwanza likiwa halina refaWakili Peter Kibatala kwa niaba ya jopo ameiomba Mahakama imlete IGP Sirro na Ole Sabaya kuja Mahakamani kutoa ushahidi katika kesi ya Freeman na wenzake Aidha.
Pia Washtakiwa watatu wamekataa maelezo yaliyosomwa Mahakamani hapo na kusema sio maelezo waliyotoa.
Je, Mahakama itaridhia na kumuita IGP kuja kuhojiwa na kina Kibatala, kuna uwezekano wa Sabaya pia kuletwa kwa maombi hayo?
Kuna mambo mengi kwenye hizi kesi mbili.
N anweka Mkeka (Mechi hii haina Sare) kuwa Aidha SABAYA au MBOWE mmoja anakula mvua ya kutosha.
Kazi na iendelee!
Hakuna wa kumzuia MWENYEKITI WA CCM ....Bi Kidude akimaliza 2025 achinje mbuzi wa sadaka. Huu upepo wa katiba mpya nchi hii pamoja na vikwazo vya CCM wanavyomfanyia Bi Kidude patachimbika.
Bi Kidude hatokuja kuamini Halmashauri Kuu CCM itakavyo gawika vipande na zaidi ya robo tatu kutoku-muunga mkono kuendelea na kupeperusha bendera 2025.
Mawe ya Askofu Gwajima na Dk Mwigulu kwa kumgombanisha Bi Kidude na wananchi sio ya bahati mbaya, hio ni planned.
Kuna wana CCM wengi watamgeuka na kuanza kuungana na upinzani kuhubiri katiba mpya, Profesa Polepole + Dk Bashiru + Ben Membe + Dk Slaa + Nyalandu + Warioba + Makamba Sr.
In short, Bi Kidude kaishaingia chaka hata kabla hajamaliza mwaka mmoja ofisini, JK ndio anampoteza.
Bi Kidude akimaliza 2025 achinje mbuzi wa sadaka. Huu upepo wa katiba mpya nchi hii pamoja na vikwazo vya CCM wanavyomfanyia Bi Kidude patachimbika.
Bi Kidude hatokuja kuamini Halmashauri Kuu CCM itakavyo gawika vipande na zaidi ya robo tatu kutoku-muunga mkono kuendelea na kupeperusha bendera 2025.
Mawe ya Askofu Gwajima na Dk Mwigulu kwa kumgombanisha Bi Kidude na wananchi sio ya bahati mbaya, hio ni planned.
Kuna wana CCM wengi watamgeuka na kuanza kuungana na upinzani kuhubiri katiba mpya, Profesa Polepole + Dk Bashiru + Ben Membe + Dk Slaa + Nyalandu + Warioba + Makamba Sr.
In short, Bi Kidude kaishaingia chaka hata kabla hajamaliza mwaka mmoja ofisini, JK ndio anampoteza.
Ndugu yangu Brazaj utaacha lini kurudia yasiyo ya kweli ?!!!Khaaa😲😲😲🤣🤣Pana kijana wake industrious hapa kutokea pande za makunduchi bwana Jumbe Brown.
Japo hili la mbuzi akiacha kumfikishia asije kusema hukuyajua wakati hata manabii mlinena.
mmhNakumbuka Ben Mkapa RIP alipanda kizimbani kumtetea Prof Mahalu.
Katoliki ni noma!
Chadema wamkimbie Sirro aliyepewa U IGP na makonda lakini akaapishwa na Magufuli ?Hakuna awezaye kupinga wito wa Mahakama m, hakuna na hatakuwepo. Late president Ben Mkapa ashawahi kuitikia wito wa Mahakama...
huu mchezo wasipokaa vyema CHADEMA Watakimbiana MAHAKAMANI.
Ila uwepo wa KIBATALA ni hatari, jamaa ana akili kubwa sana na anapenda sana kutumia Akili yake kama silaha yake