Mahakama kanda ya Arusha yakubali kupokea taarifa ya CCTV camera toka Benki ya CRDB kwenye kesi ya uhujumu Uchumi ya Ole Sabaya

Hivi sabaya ilikuaje akaupata ukuu wa wilaya,naona mambo yake alikua anayafanya kishamba sana?
Wateule wa Magufuli walifanana naye kitabia. Na yeye aliwapenda upeo kama huyu Sabaya. Kama ya Sabaya yanakushangaza mbona ya Magufuli hayakushangazi?
 
Hivi sabaya ilikuaje akaupata ukuu wa wilaya,naona mambo yake alikua anayafanya kishamba sana?
Hii ni namna teuzi za hovyo zinavyojidhihirisha
Aliyemteua alidai ni mchapakazi!! Kwa jicho la mbali naona kesi ya Mbowe ikikosa mashiko! Huwezi ukakaa karibu na jambazi bila kujihami kwa njia zozote zile.
 
Mamlaka mkuu,so ilikuwa ni kama halali kwao kufanya hivo
 
CCM inataka kumfungga huyu jamaa miaka mingapi kwani? Si wamwache hiyo 30 inamtosha!!

Vijana wa CCM mlioko madarakani nafikiri hili funzo la kuona kwa macho yenu limewafaa sana, kuweni makini matumizi kwa mamlaka mliyopewa.
 
Mahakama imaekana kupokea ushahidi wa CCTV unaomwonesha Sabaya akiingia au kuvamia benki ya CRDB kama ilivyoripotiwa na wewe sijui umetoa wapi taarifa hizi? Uandishi uchwara
 
Ukitaka kupima akili fupi za watu hapa utaona wakimshambulia Sabaya.

Sabaya alikuwa ni mkono wa kulia wa Bwana Chato.Kumshambulia Sabaya bila kumhusisha Bwana Chato ni akili fupi.
Wewe meko angekuambia umbake mamako ungefanya hivyo?
 
Wewe meko angekuambia umbake mamako ungefanya hivyo?
Hujaelewa hata nilichoandika hapo.Sijasema wala sijamaanisha kuwa kwa kuwa Sabaya alitumwa na Bwana Chato basi Sabaya hana hatia.Jitahidi kuelewa maana ya neno 'kuhusisha'.
 
Ina maana hizi taarifa za matendo ya Sabaya hazikuwa zinafika kwa Mwendazake?...au zilifika akaamua kukaa kimya?.
 
Hivi sabaya ilikuaje akaupata ukuu wa wilaya, naona mambo yake alikua anayafanya kishamba sana?
Aliipata kwa kuteuliwa. Sasa jiulize kama mteuliwa alikua anatenda haya je mteuaji ilikuwaje. Kuna mengi watayafunika sasa hivi ila kama dunia itaendelea kudumu kuna siku hatutaamini masikio yetu. Nchi ilipitia kipindi kigumu sana
 
Inawezekana madhambi yaliyofanywa na wasaidizi wa JPM kama hakina Sabaya yalimkasirisha Mungu akahamua kupunguza miaka ya kuishi ya JPM.
 
Hata mimi ningeukwaa udc nisingefanya mambo kama hayo, pesa ningekuwa napiga kiakili na najua mpaka sahv ningekuwa na bln hata 50

Ova

DC kupiga hela nyingi Kama hizo si rahisi lazima uhumize watu na lazima walalamike labda uwe DC wa wilaya zenye mabiashara makubwa Kama ilala,temeke au kinondoni .
Ukalielie kwa hao matajiri wakupe ila sio kwa kulazimisha .
Ukilazimisha Kama hao kina sabaya na makonda lazima walalamike tu na kukuharibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…