Mahakama kanda ya Arusha yakubali kupokea taarifa ya CCTV camera toka Benki ya CRDB kwenye kesi ya uhujumu Uchumi ya Ole Sabaya

haya waliokuwa wanamtetea enzi hizo njooni mjibu hoja za CCTV CAMERA au mmemuacha ajifie mwenyewe
 
Unaweza kuweka ka clip tuone domo lake alivyokuwa akipayuka!
 
Huyu sabaya, embu fukunyueni huko tabia za mzazi wake wakiume nasikia naye alikuwa na maajabu ya abuniwasi[emoji23]
 
Alijua atadumu kwenye ukuu wa wilaya

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu huwezi kuona wanachangia chochote kwenye huu uzi
 
people may forget, but technology never forgets. hiyo ndio raha na karaha ya teknolojia.

ndio maana wahalifu wakubwa duniani au majasusi wabobevu, wanachukua tahadhari zote kuepuka wasirekodiwe na vifaa vya kiteknolojia wanapokuwa katika mission zao.


sabaya alikuwa ni bonge la mshamba.
 
A common criminal, gangster, chaguo la mwendazake.
 
Sabaya aliamini Rais atamkingia kifua na ushamba ulichangia viongozi wakubwa huwa ni wajanja hutuma watu kufanya uhalifu then wao ndio hulaumiwa, I'm sure wizi alioufanya bank hakutumwa na magufuli
 

Aliamini picha za CCTV zingepotezwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…