Mahakama Kenya yafuta Kandarasi ya Uchapishaji karatasi za kura. Mchakato kurudiwa

Mahakama Kenya yafuta Kandarasi ya Uchapishaji karatasi za kura. Mchakato kurudiwa

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Chanzo. ITV breaking news.
Mahakama kuu nchini Kenya imefuta Kandarasi ya uchapishaji wa karatasi za kupigia kura kuamrisha mchakato wake kurudiwa upya.

My take
Wenzetu wanaheshimu sana mgawanyo wa madaraka.
 
Hiki ndio CCM wanachoshindia..

Mahali zinapotoka karatasi za kupigia kura ni siri yao wao na NEC..

CCM kupitia NEC hawataki matokeo ya Urais yatangaziwe kwenye vituo maana wanajua matokeo ya Urais yakitangazwa kwenye vituo ya Urais wao chali..

Tunahitaji sana Katiba mpya itakayoiweka NEC kuwa Huru.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Matokeo ya urais Tz 2015 yalitangazwa kila kituo cha uchaguzi. Ukitoa tuhumu zilizo jaa uongo unakuwa huna jipya zaidi ya propaganda mfu.
 
1499451638700.png

Amen Brothers
 
Kadri unavyo-move kuelekea kaskazini mwa bara la Afrika, IQ ya watu huongezeka hivyo sishangai sana.
Labda iq yako ndiyo ndogo kuliko mtu yeyote wa north.
Mimi ninacho amini ni kuwa wote duniani wana same brain but the difference is on how to use them.
 
Back
Top Bottom