IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Sasa hayo maswali ni ya kurudishana darasani.
Wewe lete ushahidi wa kuonesha ya kuwa as you go north the iq tends to increase.
Nani nitakuonesha kuwa wote we have the same brain but the difference is on using them.
....Ukisikia watu darasani wanasema fulani ana akili sanaa maana yake ni kwamba ingawa wote mna brain (ubongo) ndani ya vichwa vyenu uwezo wa kutumia huo ubongo between individual ndiyo issue. Mfano mkaitwa wafanyakazi 1000 wote mkapewa 10mill mkafanye same investment utashangaa after 2 yrs mwingine akawa na 20mill mwingine ukamkuta ni omba omba etc....