Mahakama Kenya yafuta Kandarasi ya Uchapishaji karatasi za kura. Mchakato kurudiwa

Mahakama Kenya yafuta Kandarasi ya Uchapishaji karatasi za kura. Mchakato kurudiwa

Hehe 30 days b4 election.. Futa tender anza nyengine, hehe.. My respect to the courts, sikuhizi hawatakagi ujinga.... Ingekua zile siku za Moi hao majaji wangejipata pale torture chamber kwa basement ya Nyayo house
 
Umuhimu wa Katiba ni Huo, Mahakama zina heshima

Kama Tanzania kura za Uraisi zikitangazwa vituoni, CCM chali asb
Labda kama kura unajipigia mwenyewe. Usiote.Miaka mingapi tangu kuanzishwa vyama vingi. Ni utapeli tuu wa kisiasa unaoendelea
 
Subirini uchaguzi ufanyike mshindi apatikane, ndo muanze kusifia katiba.
 
Subirini uchaguzi ufanyike mshindi apatikane, ndo muanze kusifia katiba.

Uchaguzi utafanyika tena kwa amani kama unategemea mengine. Binafasi mimi sio shabiki wa upinzani kwetu Kenya lakini hapa napata raha kuona mihimili iliyobuniwa na katiba ikitumia uhuru wake bila kuingliwa. Kwamba leo mahakama imetoa maamuzi dhidi ya mategemeo ya serikali na uamuzi wao ukaheshimiwa.

Isingekua kwa nguvu za katiba, basi haya yote hatungeyaona maana hapo awali tuliishi kwenye dhuluma za chama kimoja, mahakimu walizoea kupata maagizo kutoka ikulu, lakini leo hii wanazingatia sheria neno kwa neno. Binafsi nashangilia maana haya ni baadhi ya matunda ambayo nilihusika katika upaliliaji wake, miaka ya tisini nilichezea mabomu ya machozi na vibano vya polisi wakati tulikua tunajitokeza barabarani kudai haki.

Hivyo nchi yetu inaendelea vizuri sana na kuwa mfano kwa mataifa mengi Afrika kwamba inawezekana na imewezekana. Mshindi atakayeshinda, atatangazwa na atakua rais wetu kwa miaka mitano.
 
Uchaguzi lazima ufanyike kwa amani. Lakini baada ya uchaguzi je wahataheshimu hiyo katiba kulingana na matokeo? Ndiyo naamini ungefunga breki kidogo tuone hiyo litmus test.
 
Kama ni contract yote haikufata public participation,inakuaje ufutwe uchapishaji wa karatasi za urais tu Na si nyinginezo?

Na hakuna mkataba wa kuchapisha karatasi za kura za urais,kuna mkataba wa kuchapisha karatasi za kura za uchaguzi Mkuu.
 
Uchaguzi lazima ufanyike kwa amani. Lakini baada ya uchaguzi je wahataheshimu hiyo katiba kulingana na matokeo? Ndiyo naamini ungefunga breki kidogo tuone hiyo litmus test.

Wananchi wakirejesha imani yao kwa mahakama basi sioni kwanini yeyote asiheshimu maamuzi yake.
 
1499493220916.jpg

IEBC accepted the Verdict and is already appealing.
 
Labda kama kura unajipigia mwenyewe. Usiote.Miaka mingapi tangu kuanzishwa vyama vingi. Ni utapeli tuu wa kisiasa unaoendelea

Ndio ni Utapeli wa kisiasa kukataa Kura za Urais Matokeo kubandikwa vituoni

Miaka mingi vyama vya siasa vimeanzishwa bila kuweka tume huru ya uchaguzi, Rasilimali zote CCM wakajitwalia wakati zilijejengwa kwa nguvu za wananchi wote

vyombo vya dola kusaidia chama tawala

Mahakama Huru (Mhimili Huru) ni Faida kwa fair election

Sijui wewe unasimamia wapi?
 
IEBC inamtetea aliyepewa Tenda...Kichekesho Africa

Fishy Business

Ulitegemea waseme nini
- Wameeleza kwamba tuhuma za upinzani dhidi ya hiyo kampuni zilipigwa chini na mahakama
- Kwamba sababu za mahakama kusimamisha hiyo kandarasi ni kwamba wao tume walipokeza mkataba wa kandarasi bila kuhusisha washika dau wakiwemo wagombea wote wa urais
- Hivyo kufikia hapo hamna kingine ambacho kilitajwa kama kosa, kwa kifupi kampuni haijatajwa kwenye kosa lolote na kama vipi watajizolea hela nyingi maana mkataba wao umesimamishwa bila wao kuwa na makosa yoyote
- Mahakama imesimamia haki na sheria bila kuegemea upande wowote
 
Labda iq yako ndiyo ndogo kuliko mtu yeyote wa north.
Mimi ninacho amini ni kuwa wote duniani wana same brain but the difference is on how to use them.
....What is IQ? Tuanzie hapo.
 
Uchaguzi lazima ufanyike kwa amani. Lakini baada ya uchaguzi je wahataheshimu hiyo katiba kulingana na matokeo? Ndiyo naamini ungefunga breki kidogo tuone hiyo litmus test.
....Tukubali tuu kwamba kwa hili la uhuru wa mahakama bila kuingiliwa na serikali wako vizuri, mwenzio akifanya jema mtuze,hongereni majirani.
 
....What is IQ? Tuanzie hapo.

Sasa hayo maswali ni ya kurudishana darasani.
Wewe lete ushahidi wa kuonesha ya kuwa as you go north the iq tends to increase.

Nani nitakuonesha kuwa wote we have the same brain but the difference is on using them.
 
Huku kwetu hata spika ana nguvu kulikomahakama
 
Back
Top Bottom