tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Bongo hata kesi ya mita 200 tu inatafsiriwa kutokana na wakati!!Chanzo. ITV breaking news.
Mahakama kuu nchini Kenya imefuta Kandarasi ya uchapishaji wa karatasi za kupigia kura kuamrisha mchakato wake kurudiwa upya.
My take
Wenzetu wanaheshimu sana mgawanyo wa madaraka.
Nawaona Team Raila wakishangilia
Matokeo ya urais Tz 2015 yalitangazwa kila kituo cha uchaguzi. Ukitoa tuhumu zilizo jaa uongo unakuwa huna jipya zaidi ya propaganda mfu.Hiki ndio CCM wanachoshindia..
Mahali zinapotoka karatasi za kupigia kura ni siri yao wao na NEC..
CCM kupitia NEC hawataki matokeo ya Urais yatangaziwe kwenye vituo maana wanajua matokeo ya Urais yakitangazwa kwenye vituo ya Urais wao chali..
Tunahitaji sana Katiba mpya itakayoiweka NEC kuwa Huru.
So IQ ya watu Wa somalia iko juu kuliko wakenya?Kadri unavyo-move kuelekea kaskazini mwa bara la Afrika, IQ ya watu huongezeka hivyo sishangai sana.
Achana na hao machadema wamekosa cha kuizungumzia serikali ya raisi maguMatokeo ya urais Tz 2015 yalitangazwa kila kituo cha uchaguzi. Ukitoa tuhumu zilizo jaa uongo unakuwa huna jipya zaidi ya propaganda mfu.
We ni taahiraKadri unavyo-move kuelekea kaskazini mwa bara la Afrika, IQ ya watu huongezeka hivyo sishangai sana.
lizaboni simuoni siku hizi au anaisoma namba kimya kimyawakenya waliuwana sana 2007 ndio maana wanajua jinsi ya kujiepusha na majanga.siasa zetu za akina lizaboni na yehodaya tusitegemee democrasia tanzania
Labda iq yako ndiyo ndogo kuliko mtu yeyote wa north.Kadri unavyo-move kuelekea kaskazini mwa bara la Afrika, IQ ya watu huongezeka hivyo sishangai sana.