hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Mkuu tulia na andika ili ueleweke, hii ni mada iliyoletwa ili tujadili, na maoni tofauti na ya kwako ndio mjadala wenyewe, nimejitahidi kukusoma ili nikuelewe ili nisiulize maswali nimeshindwa, political party SIO taasisi ya serikali, na elewa serikali inakuja na kuondoka kutegemeana chama gani kimeshinda uchaguzi, ni katiba tuu ndio ipo, tumetawaliwa mno na ccm na inaonekana tunashindwa kutenganisha chama na serikali, vyama vyote vina katiba yake kuhusiana na wanayokubaliana ndio maana ccm ilimfukuza uanachama Mr.Membe na Mrs .Sofia Simba, ccm walitumia katiba ya chama chao SIO katiba ya nchi, Mdee&others ni walilia njaaa za matumbo, they're fighting to keep their MPs seats na SIO uanachama wa CDM,ndio maana tunahitaji kuwa na independent candidates kwenye katiba yetu ili kuepusha my kodi kutumiwa vibaya kama kwenye case hii.
Nimesema ni taasisi ya serikali Kwa sababu, chukua mfano wa nccr mageuzi now, Nani ameamua hatma Yao? Kama sio msajiri wa vyama and je msajiri wa vyama sio taasisi ya serikali?
Jambo la pili nyie mligoma kutambua uchaguzi, mligoma kutambua viti maalum ambavyo vipo Kwa mujibu wa katiba means na nyie mlivunja sheria
Now mnalialia ishu ya kina mdee mkiwa na ajenda yenu nyingine ndio maana hamtashinda
Wale watakuwa wabunge mpaka 2025