Mahakama kutoa hatma ya maombi ya kina Halima Mdee Julai 6, 2022

Nimesema ni taasisi ya serikali Kwa sababu, chukua mfano wa nccr mageuzi now, Nani ameamua hatma Yao? Kama sio msajiri wa vyama and je msajiri wa vyama sio taasisi ya serikali?

Jambo la pili nyie mligoma kutambua uchaguzi, mligoma kutambua viti maalum ambavyo vipo Kwa mujibu wa katiba means na nyie mlivunja sheria

Now mnalialia ishu ya kina mdee mkiwa na ajenda yenu nyingine ndio maana hamtashinda

Wale watakuwa wabunge mpaka 2025
 
Uwe unatumia Akili unapo changia sio mihemuko. Hakuna sheria inayo kulazimisha kumtambua mtu anaye kuja kwako akakulazimisha umuite baba na umpe matunzo japo ni mwanaume ili hali wewe humjui na hujui katoka wapi na ukikataa hakuna sheria uliyo vunja.

CHADEMA wamekataa kutambua Matokeo ya uchaguzi na pia wamekataa kuchukua fedha za ruzuku zinazotolewa na Serikali kwa Vyama vya siasa kwa kuwa hakukuwa na uchaguzi bali ni uchafufuzi wa uchaguzi. Na kwa kutaa huko CHADEMA hawajavunja sheria yeyote na ndio maana hawajashitakiwa sehemu yeyote bali wanapaswa kupongezwa kwa kuwa sheria zinasema ukiona uharifu umefanyika na wew ni raia mwema unapaswa kuupinga aidha kwa kumkamata muharifu CCM anaye lindwa na Dora au kutoa taarifa tuu kuwa ma CCM ni majizi ya kura ili watu wajue hivyo na Dunia ijue hivyo.
 
Achana matusi basi
Chadema hamuwez kuongea bila matusi ? Nyie watu hamna wakubwa huko kwenu?

Lete hoja tuongee Kwa hoja

Nyie mlikataa uchaguzi, means kila kitu kinachohusiana na uchaguzi ule hamtaki

Sasa why mnahangaika na wakina mdee ambao wao wameamua kukubali matokeo ya uchaguzi?
 
Wewe huna hoja, unawashwa tu na nadhan mumeo kakuacha kwa mda sasa ivyo kiboga tu kt ute....lezi wako utashika adabu
 
Mbona waliitwa na Kamati kuu wakagoma kuja kusikilizwa?

Waliitwa kuongea kwenye baraza kuu Nako wakagoma

Sasa walitaka wasikilizwe kwenye macorridor au kwenye vikao halali vya chama??

CHADEMA waachane na hii kesi, kama walivyompotezea Shibuda na Zitto hadi wenyewe wakaondoka kimya kimya kwa aibu!!
 
Kinachopingwa ni utaratibu, lazima Kamati kuu ndio ichague na Katibu Mkuu ndio awasilishe barua. Sasa Made ana mamlaka kuliko Kamati kuu?? Minutes za kikao kilichoridhia hayo majina kikwapi??
 
Walikataa kusikilizwa wenyewe, waliitwa kwa barua ila wote waligoma kuja so hukumu ikatolewa in absentia. Lissu alifukuzwa bila kusikilizwa na mahakama haikutengua maamuzi ya spika na NEC!! Hii nchi double standards ni nyingi sana
 
Double standard Kwa ishu ambayo haipo upande wako
 
Wameamua kukubali matokeo kupitia chama gani? Maana chama wanachojitambulisha nacho hakiwataki kimewafuta uanachama kama wangekuwa wanajitambulisha wao ni wabunge wa viti maalumu kupitia ccm au nccr hata mimi ningewashangaa chadema shida ni wao kujipa uanachama wa chadema wakati chadema haiwatambui.
Hujui kuna mbunge aliunga juhudi akajitoa bungeni ndugai akamrudisha bungeni kupitia chama kisichojulikana ww uliona chadema wanahangaika naye.
 
Kinachopingwa ni utaratibu, lazima Kamati kuu ndio ichague na Katibu Mkuu ndio awasilishe barua. Sasa Made ana mamlaka kuliko Kamati kuu?? Minutes za kikao kilichoridhia hayo majina kikwapi??

Minutes za kikao ambacho kiliwafukuza mara ya kwanza ziko wapi?

Akidi ilikuwa imetimia?
 
Chadema walikosea kuwafukuza Ile ya kwanza kabisa pale ndio walifeli

Ndio shida ya mihemuko mingi
 
Minutes za kikao ambacho kiliwafukuza mara ya kwanza ziko wapi?

Akidi ilikuwa imetimia?
Ndio, Kamati kuu ilikua full na minutes ziliwasilishwa kwa baraza kuu na maazimio yakasomwa.

Sasa hao kina Mdee ni Kamati kuu gani iliketi kuwapendekeza waende bungeni?
 
Ndio, Kamati kuu ilikua full na minutes ziliwasilishwa kwa baraza kuu na maazimio yakasomwa.

Sasa hao kina Mdee ni Kamati kuu gani iliketi kuwapendekeza waende bungeni?
Ndugai aliomba minute za kikao na hamkupeleka

Sasa wakati wa case ndio mtajua
 
Ndio, Kamati kuu ilikua full na minutes ziliwasilishwa kwa baraza kuu na maazimio yakasomwa.

Sasa hao kina Mdee ni Kamati kuu gani iliketi kuwapendekeza waende bungeni?
Hapa sielewI, hawatakiwi bungeni kwa sababu sio wanachama au Kwakuwa hawakuchaguliwa na chama?
 
Kwanini juzi hauja ripitiwa na vyombo vya habari kama kawaida?
Au Ccm na serikaku yake wana ona aibu kuumbuka? Maana lazima Bwana Mahela mchafuzi wa uchaguzi, na mzee wa bakora Ndugai wasimame kuzimbani kuelezea jinsi hawa virus walivyo ingia bungeni.
Je? Ni nani alimtoa yule kurusi gerezani usiku na kwenda kuapushiwa guest??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…