Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

Mahakama za Tz ni majengo tu usitegemee haki yoyote dhidi ya mtawala.
 
Hahahaha chadema hawajawahi kuanzisha jambo likafanikiwa
 
Hizi mahakama za kukomoa upinzani.....
Bado naikumbuka ile fine tuliyochanga watz 320,000,000 yaani ili tu kukomoa wengine......
Stupidity at its peak
 
Ok noted and thanks

Wanasiasa wanapotezea watu muda wa kufanya kazi

Kila mtu apambane na hali yake

Liwe Bunge au Mwambe kila mtu anaangalia familia yake

Kwa ufupi wananchi angalieni maisha yenu
Ukiacha kufuatikia chombo cha kukutungia sheria kinaendaje, hujaendelea na maisha yako.

Umeacha wengine wakuamulie maisha yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesi laini sana ilikuwa!!! Asante kwa kututafutia Per Diem
 
Ok noted and thanks

Wanasiasa wanapotezea watu muda wa kufanya kazi

Kila mtu apambane na hali yake

Liwe Bunge au Mwambe kila mtu anaangalia familia yake

Kwa ufupi wananchi angalieni maisha yenu

Acha Usanii na ubabaishaji wewe.
Watz Wana Haki ya kuhoji na kuona Sheria na Katiba inazingatiwa pale WATAWALA WA CCM. wanapoingia Sheria na taratibu za nji kwa interests zao.
Cecil Mwambe hakupaswa na hapashwi kuwa Bungeni kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Yeye alishajiuzulu Uanachama wa Chama kilichomtokea Bungeni kwa kura za Wananchi...!

Tatizo ni kwamba JIWE na Serikali yake ya majambazi ya CCM wamaiteka mihimili ya Mahakama na Bunge kiasi kwamba inacheza ngoma inayopigwa na JIWE....!!

Hii ilikuwa ni kesi ya Kikatiba na kulikuwa na hoja ya msingi kabisa hata kama Kuna dosari za kiufundi katika kufungua shauri hili!! lakini kwa vile waloguswa ni Vigogo wa Chama Twawala lazima kesi itupuliwe mbali ili kulinda maslahi ya majambawazi ya CCM!
 
Mahakama ime-site vifungu na ibara za katiba juu ya kutupilia mbali shauri hilo na imeshauri utaratibu ambao ulipaswa kufuatwa. Sasa ni kazi kwako kujibu kwa kupangua vifungu hivyo na sio porojo.
Inakuwaje hawa watu wa upande wa opposition kesi zao nyingi uwaga zinaishia kwenye legal technicalities tu. Media Lawyers ni shida sana, ninamuamini sana Adv. daimu kumbe nae daaaaaah.
 
kAMA NI KESI YA KIKATIBA, FACTS ZA HIYO KESI KUWA YA KIKATIBA NI ZIPI MKUU?
 
Hahaha nilijua tu, mahakama zenyewe zimejazwa makada wa CCM ulitegemea nini

Tatizo wafungua kesi hawajui taratibu za kisheria kuhusu bunge ila wanakurupuka tu kwa mihemko ya wanasiasa, sasa mawakili wasomi wanaangukia pua hii ni aibu sana kwao
 
kAMA NI KESI YA KIKATIBA, FACTS ZA HIYO KESI KUWA YA KIKATIBA NI ZIPI MKUU?

Tatizo lako husomi....na hiyo ni sifa moja mbaya sana ya Watz walio wengi ukiwemo.Uvivu wa kusoma!!!
Kwa mtu anayesoma au aliyesoma Katiba ya JMT hii kesi iko wazi kabisa. Tatizo ni Mahakama kupindisha na kucheza na longolongo ya kusingizia"Technicalities" ili kujaribu kuzima hoja....Non-sense!!!
 

Wanasheria wengi wa kitania walizoea kuhonga mawakili wa serikari na mahakimu, kwa hiyo walisahau kuzisoma sheria vizuri wakijua ninpesa mambo yanakuwa sawa.
Sasa mambo yamebadilika wanabaki kulialia
Nadhani akili zitawarudi kwa utawala huu ili wakipeleka hoja iwe ni.hoja kweli sio vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…