Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii nchi imekufa imeoza vibaya sana ! ni kituko kuliko nchi yoyote duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da Mkuu mbona hii ngum kumeza sasawewe unashangaa hilo?
Kajionee namna sarikaki hii ya awmu ya tano, namna ilivyodhamiria kuupeleka muswada bungeni, ambapo itakuwa "marufuku" kwa mtu yeyote kupeleka shauri mahakamani linalohusu uvunjwaji wa Katika ya nchi, kwa viongozi wakuu wa nchi, ambao ni Rais, Makamu wake, Waziri mkuu, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu!
Je kuna maana gani kwa viongozi hao wakuu wa nchi, kuapa kuitetea Katiba ya nchi kabla hawajakabidilhiwa madaraka hayo??
Kuna jamaa moja ni dikteta lijinga lisilotumia akili. Kwa hiyo yanataka yavunje katiba na kukandamiza wananchi?wewe unashangaa hilo?