Asante kwa ufafanuzikWANI hapo petitioner/Plaintiff ni Chadema au Adv. Kaunda??? Atazilipa yye aliefungua kesi, kama wapo waliomtuma kama ni chadema watashirikiana kuzilipa tu
tindo sometime Ebu ujitahidi kuweka ushabiki wako pembeni alafu ujadili hoja itakusaidia Sana hapo kafuta kesi na kakuambia vifungu alivyotumia kuamua hiyo kesi na isitoshe akatoa pia ushauri kwa mleta kesi namna alivyotakiwa afanye wewe ulitakiwa umjibu kwa hoja kwa kutumia vifungu vya sheria Kama alivyofanya yeye badala ya kutumia hisia zako binafsi hii ndio maana ya great thinker.Sikutegemea kitu tofauti na hicho.
Tunaangalia maisha yetu ila kumbuka kuna nguvu zetu zinaenda serikalini kilisha watu waliotumwa kaziOk noted and thanks
Wanasiasa wanapotezea watu muda wa kufanya kazi
Kila mtu apambane na hali yake
Liwe Bunge au Mwambe kila mtu anaangalia familia yake
Kwa ufupi wananchi angalieni maisha yenu
Nafahamu umedhamiria kitu fulani,Ukiacha kufuatikia chombo cha kukutungia sheria kinaendaje, hujaendelea na maisha yako.
Umeacha wengine wakuamulie maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo wakili Kaunda achunguzwe uraia wake sio mtanzania huyo
Kwa hasira zako sasa hakuna atakae kusikiliza iwe Bunge,Serikali au MahakamaAcha Usanii na ubabaishaji wewe.
Watz Wana Haki ya kuhoji na kuona Sheria na Katiba inazingatiwa pale WATAWALA WA CCM. wanapoingia Sheria na taratibu za nji kwa interests zao.
Cecil Mwambe hakupaswa na hapashwi kuwa Bungeni kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Yeye alishajiuzulu Uanachama wa Chama kilichomtokea Bungeni kwa kura za Wananchi...!
Tatizo ni kwamba JIWE na Serikali yake ya majambazi ya CCM wamaiteka mihimili ya Mahakama na Bunge kiasi kwamba inacheza ngoma inayosikika na JIWE....!!
Hii ilikuwa ni kesi ya Kikatiba na kulikuwa na hoja ya msingi kabisa hata kama Kuna dosari za kiufundi katika kufungua shauri hili!! lakini kwa vile waloguswa ni Vigogo wa Chama Twawala lazima kesi itupuliwe mbali ili kulinda maslahi ya majambawazi ya CCM!
Hata mtoto wa Darasa la pili alijua aliyefungua kesi hana hoja, labda anatafuta kiki.
Alafu bado eti ni "mwanasheria", tuna safari ndefu.
Serikali hata wewe ni sehemu ya serikaliTunaangalia maisha yetu ila kumbuka kuna nguvu zetu zinaenda serikalini kilisha watu waliotumwa kazi
Kwa hasira zako sasa hakuna atakae kusikiliza iwe Bunge,Serikali au Mahakama
Hivi mfano wewe ndio Jaji ungefanya nini kwenye kesi hii,
Heshimu anayekupa chakula
Kuset Precedence.Sasa mlifata nini mahakamani kupoteza muda?
Sawa chif,Ila hiyo ni dhana tuKuset Precedence.
Kwa nyakati hizi ukiona kesi yako kuna maslahi ya Jiwe, Bashite and Co.
Usitegemee Jipya.