wewe unashangaa hilo?
Kajionee namna sarikaki hii ya awmu ya tano, namna ilivyodhamiria kuupeleka muswada bungeni, ambapo itakuwa "marufuku" kwa mtu yeyote kupeleka shauri mahakamani linalohusu uvunjwaji wa Katika ya nchi, kwa viongozi wakuu wa nchi, ambao ni Rais, Makamu wake, Waziri mkuu, Spika wa Bunge na Jaji Mkuu!
Je kuna maana gani kwa viongozi hao wakuu wa nchi, kuapa kuitetea Katiba ya nchi kabla hawajakabidilhiwa madaraka hayo??