Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Wameenda Azania industry kununua canter 6 za povu la space na clubhouse jioni leo
hahahahah endelea na dhihaka zako utakuja ulie siku Moja Kwa kumwagiwa povu la buku jero shauri zako
😁😁😁😁
 
Sijui kwa nini mheshimiwa Mbowe aliamua kurudi bongo asee..yani hata jiwe hakuwahi kumtesa kiasi hiki kwa kumpa kesi ngumu namna hii..
Jiwe + Hangaya hii ilikua ajenda yao, fuatilia, kesi hii imepangwa toka jiwe yupo, huyu mwingine anakamilisha!!
 
Mbowe na Genge lake la kihalifu hawapo juu ya Sheria.
Kama ikithibitika kuwa alikuwa anachezea amani ya nchi yetu basi sheria ifanye kazi yake ili iwe fundisho kwa wengine ambao wanadhani amani yetu ni jambo la kuchezea.

Hukumu ya Jaji mpya Kiongozi vipi inapita kimya kimya?

Haki ikitendeka haijifichagi
 
Hizo jitihada nyingine Ni zipi ndg, Kama katiba mpya ndiyo hyo inakula msoto gerezani , na jaji kiongozi + Hangaya ndiyo wanaikanyaga!!
Mahakama ya umma. Umma ni lazima uamke na kuitafuta haki ambayo kwa sasa siyo rahisi kuipata kupitia mahakama ambayo imenajisiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…