Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mm sipo upande wowote ila nipo naangalia analysis ya jaji na maamzi yake ya mwisho!!! Hata wewe ukikaa ukaichambua vzr uchambuzi wake na maamzi lazima ugundue kitu. Sipo kufuata mihemko nipo kama Mtanzania aliye huru na nipo huru till ukidisturb my right!
 
aise!
wacha apambane na hali yake.
Amani ya Nchi ni muhimu zaidi kuliko Mbowe.
Kweli kabisa ndo maana yupo ndani na nchi inasonga.

Alitamani maandamano ya nchi nzima ili aonekane yeye ni mtu muhimu lakini hata wanachama wake wameingia mitini.
 
Mahakama ya umma. Umma ni lazima uamke na kuitafuta haki ambayo kwa sasa siyo rahisi kuipata kupitia mahakama ambayo imenajisiwa.
Umma umejaa haki....na zao la haki ni AMANI NA UTULIVU WA NCHI HII.....
 
Hakuna rais mwenye uwezo wa kuingilia mahakama. mama mwenyewe ni mtu wa kufuata katiba na utawala wa sheria na kuzingatia uhuru wa mahakama. Ushauri wako feki haujafatwa, haufatwi, na hautafatwa
Rais yupi anayefuata sheria? Huyi aliyepiga marufuku mikutano inayoruhusiwa na katoba au kuna mwingine?

Huyu kwa ujumla ni popo, si ndege si mnyama.
 
Jaji Siyani aliteuliwa na Hayati Magufuli Mwaka 2018 Kuwa Jaji Wa Mahakama Kuu.

Mpaka anateuliwa na chief Hangaya Kuwa Jaji Kiongozi Alikuwa Ni Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda Ya Dodoma
Kuna harufu ya rushwa hapa!!
 
Mahakama ya umma. Umma ni lazima uamke na kuitafuta haki ambayo kwa sasa siyo rahisi kuipata kupitia mahakama ambayo imenajisiwa.
Km unayosema ni kwel kuwa mahakama imenajisiwa inawezekana sabaya hakutendewa haki
 
Walisema mbowe kutetewa na mawakili 380 nikajua jamaa hawa ni comedy tosha..
Hawa jamaa nilishaacha kuwaamini tangu walipoitisha maandamano ya nchi nzima,halafu siku ya maandamano si Lissu Wala Mbowe aliyeonekana.
 
kipi mkuu, nipo na mke wa mfungwa wa miaka 30 ndo tunatoka mahakamani tunakwenda kupumzika....anasema jamaa kumbe alikuwa hata hawezi, moja chali.
Sawa mkuu...

Endelea kujimwambafai mkuu....

JELA HAINA MWENYEWE MKUU ...

YEYOTE ANAWEZA KUINGIA HUKO MKUU....

Mkuu kuna "Jana" na "kesho" mkuu.....
 

Yatokeayo yanastajaabisha
 
Mbowe yuko na mamilioni ya Watanzania serikali iko tested ikimuonea Mbowe inaweza leta fujo na machafuko.
Tanzania hihiii ambayo nchi nzima wananchi wake wana phd ya unafiki yatokee machafuko???
 
Kwa kweli leo ni siku ya aibu katika tasnia ya haki nchini.

Jaji Siyani bila kunukuuu kifungu chochote cha sheria katoa maamuzi!

Hii ni hukumu ya kipekee sana, na Jaji Sitani kajiongezea CV!

Aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…