Wakili msomi atawaokoa Labda.Pamoja na uwapo wa wazungu bado jaji hajatetereka kadondosha kitu kizito utosini...saaa itakuwaje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakili msomi atawaokoa Labda.Pamoja na uwapo wa wazungu bado jaji hajatetereka kadondosha kitu kizito utosini...saaa itakuwaje sasa
nitakuwepo bwashee usikose Aisee Leo ndio tutajua hatujui!Utakuwapo space ama clubhouse?
Mm sipo upande wowote ila nipo naangalia analysis ya jaji na maamzi yake ya mwisho!!! Hata wewe ukikaa ukaichambua vzr uchambuzi wake na maamzi lazima ugundue kitu. Sipo kufuata mihemko nipo kama Mtanzania aliye huru na nipo huru till ukidisturb my right!Mahakama haitishiwi na midemuko ya JF.
Sabaya alipohukumiwa hamukusema majaji wa kuteuliwa leo kulikoni.
Jaji hakikisha unatenda haki bila kuangalia sura Wala umaarufu wa mtu,wale kuaangalia wale vibaraka waliomtuma kila siku wako mahakamani kuhakikisha hawataji.
Walisema mbowe kutetewa na mawakili 380 nikajua jamaa hawa ni comedy tosha..Wakili msomi atawaokoa Labda.
Kweli kabisa ndo maana yupo ndani na nchi inasonga.aise!
wacha apambane na hali yake.
Amani ya Nchi ni muhimu zaidi kuliko Mbowe.
Umma umejaa haki....na zao la haki ni AMANI NA UTULIVU WA NCHI HII.....Mahakama ya umma. Umma ni lazima uamke na kuitafuta haki ambayo kwa sasa siyo rahisi kuipata kupitia mahakama ambayo imenajisiwa.
Kumpa cheo jaji, katikati ya keei ilikuwa ni rushwa ya wazi. Wenye akili walijua.Naona kila mmoja sasa anaanza kulalamika kuhusu Jaji hii ndio Tanzania yetu
Kipi mkuu, nipo na mke wa mfungwa wa miaka 30 ndo tunatoka mahakamani tunakwenda kupumzika....anasema jamaa kumbe alikuwa hata hawezi, moja chali.Kichefuchefu kimekuisha hujajitapikia mkuu wangu ?!!
Unajifanya unacheka kumbe umepokea kichapo kikaliView attachment 1980652
Pamoja na ile "Hongo"kaamua kuitema hahaaaaa!!kkk!!
Rais yupi anayefuata sheria? Huyi aliyepiga marufuku mikutano inayoruhusiwa na katoba au kuna mwingine?Hakuna rais mwenye uwezo wa kuingilia mahakama. mama mwenyewe ni mtu wa kufuata katiba na utawala wa sheria na kuzingatia uhuru wa mahakama. Ushauri wako feki haujafatwa, haufatwi, na hautafatwa
Kuna harufu ya rushwa hapa!!Jaji Siyani aliteuliwa na Hayati Magufuli Mwaka 2018 Kuwa Jaji Wa Mahakama Kuu.
Mpaka anateuliwa na chief Hangaya Kuwa Jaji Kiongozi Alikuwa Ni Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu Kanda Ya Dodoma
Km unayosema ni kwel kuwa mahakama imenajisiwa inawezekana sabaya hakutendewa hakiMahakama ya umma. Umma ni lazima uamke na kuitafuta haki ambayo kwa sasa siyo rahisi kuipata kupitia mahakama ambayo imenajisiwa.
Hawa jamaa nilishaacha kuwaamini tangu walipoitisha maandamano ya nchi nzima,halafu siku ya maandamano si Lissu Wala Mbowe aliyeonekana.Walisema mbowe kutetewa na mawakili 380 nikajua jamaa hawa ni comedy tosha..
Hakuna case ngumu kama zenye public opinion Mkuukuna harufu ya rushwa hapa !!
Sawa mkuu...kipi mkuu, nipo na mke wa mfungwa wa miaka 30 ndo tunatoka mahakamani tunakwenda kupumzika....anasema jamaa kumbe alikuwa hata hawezi, moja chali.
Jaji Kiongozi: ni sawa tunapaswa Kunaendele na Shahidi Lakini nikaomba nishauriane na Mawakili. Sasa Nimeona kwamba Shauri hili ni Moja ya Shauri linalopaswa kuisha kwa haraka.
Jaji: Kama Shauri likienda mfululizo ingechukua Miezi kama Minne
Jaji: Hivyo kwa Majukumu niliyonayo nimeona nijitoe aje Jaji mwingine haraka iwezekanavyo zekanavyo
Jaji ananyanyuka anaondoka Zake.
Tanzania hihiii ambayo nchi nzima wananchi wake wana phd ya unafiki yatokee machafuko???Mbowe yuko na mamilioni ya Watanzania serikali iko tested ikimuonea Mbowe inaweza leta fujo na machafuko.