Taja majaji aliowaweka Magu kwenye hiyo mahakamaAlipewa rushwa ya cheo. Ametimiza matakwa ya mteule wake. Sasa atapewa jaji mwingine atakayepangwa na yule jaji miongoni mwa wasiojulikana, jaji simba.
Marehemu kwa kuwapachika wasiojulikana kuwa majaji, aliua kabisa mfumo wa mahaka huru.
Uharibifu wa marehemu kwenye maeneo mbalimbali ya taasisi za utawala na serikali, itachukua miaka mingi kuurekebisha. Na bahati mbaya Hangaya naye, anaenda kiunafiki kuihadaa jamii ya kimataifa huku moyoni akiwa hana dhamira ya dhati ya kuondoa uchafu walioutengeneza wakati wa awamu ua 5.
Gaidi hachomokiHii nchi kuna haja ya kutawaliwa tena. Atafutwe mkoloni mzuri haraka. Imeshindwa kujiendesha
Jiwe na wasaidizi wake waliingilia MahakamaHakuna rais mwenye uwezo wa kuingilia mahakama. mama mwenyewe ni mtu wa kufuata katiba na utawala wa sheria na kuzingatia uhuru wa mahakama. Ushauri wako feki haujafatwa, haufatwi, na hautafatwa
Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia?Alipewa rushwa ya cheo. Ametimiza matakwa ya mteule wake. Sasa atapewa jaji mwingine atakayepangwa na yule jaji miongoni mwa wasiojulikana, jaji simba.
Marehemu kwa kuwapachika wasiojulikana kuwa majaji, aliua kabisa mfumo wa mahaka huru.
Uharibifu wa marehemu kwenye maeneo mbalimbali ya taasisi za utawala na serikali, itachukua miaka mingi kuurekebisha. Na bahati mbaya Hangaya naye, anaenda kiunafiki kuihadaa jamii ya kimataifa huku moyoni akiwa hana dhamira ya dhati ya kuondoa uchafu walioutengeneza wakati wa awamu ua 5.
😁😁😁😁😁 Maombi yamejibu. PGO imetupwa kule😂😂😂😂😂Polisi walijaribu kumzuia Baba Askofu Mwamakula asiingie Mahakamani , wakachemsha , akaingia na kuungurumisha maombi ndani ya kizimba
View attachment 1980550
Mvua zinamsubiri😁😁😁😁Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanaan au kama anavyofahamika huko Zanzibar , Ustaadh Aboubakar Mbowe akiingia Mahakamani
View attachment 1980551
Duuh... Jela hakufai, yaani Mtemi Isike shati limejikunja kunja km limetoka mdomoni kwa ng'ombe?Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanaan au kama anavyofahamika huko Zanzibar , Ustaadh Aboubakar Mbowe akiingia Mahakamani
View attachment 1980551
View attachment 1980652
Pamoja na ile "Hongo"kaamua kuitema hahaaaaa!!kkk!!
😲🤣🤣🤣🤣🤣Tuzidishe dua Mungu atende tena ili waovu watoweshwe kwenye uso wa dunia.
Mungu Ni kimbilio la wanyonge, watu wasio na mamlaka Wala mtetezi, watu wanaoonewa kiholela!!Chadema mnajionaga kama Mungu ni wenu peke yenu au nyie ni wema na wasafi hata Sabaya anatetewa na Mungu pia
Mahakama ziko huru!Amehongwa cheo na ameweka mzingira wezeshi Mbowe apotezwe. Tuzidishe dua Mungu aingilie kati kwa mara nyingine.
kachonga kakimbia.....Amehongwa cheo na ameweka mzingira wezeshi Mbowe apotezwe. Tuzidishe dua Mungu aingilie kati kwa mara nyingine.
Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia? Si ni mahakama hizi hizi tulishangiliaHuyu jaji ni kabila gani? dini gani? mwageni wasifu wake wote... ni lazima ajadiliwe hapa leo, tusimwache atuchezee nyeti zetu sisi ni watu wazima tunamzidi umri by the way.
Tulia mpigwe na kitu kizito..mama keshasema kazi na iendelee. Tunaendelea tulipoishiaJiwe na wasaidizi wake waliingilia Mahakama