Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Alipewa rushwa ya cheo. Ametimiza matakwa ya mteule wake. Sasa atapewa jaji mwingine atakayepangwa na yule jaji miongoni mwa wasiojulikana, jaji simba.

Marehemu kwa kuwapachika wasiojulikana kuwa majaji, aliua kabisa mfumo wa mahaka huru.

Uharibifu wa marehemu kwenye maeneo mbalimbali ya taasisi za utawala na serikali, itachukua miaka mingi kuurekebisha. Na bahati mbaya Hangaya naye, anaenda kiunafiki kuihadaa jamii ya kimataifa huku moyoni akiwa hana dhamira ya dhati ya kuondoa uchafu walioutengeneza wakati wa awamu ua 5.
Taja majaji aliowaweka Magu kwenye hiyo mahakama
 
Hakuna rais mwenye uwezo wa kuingilia mahakama. mama mwenyewe ni mtu wa kufuata katiba na utawala wa sheria na kuzingatia uhuru wa mahakama. Ushauri wako feki haujafatwa, haufatwi, na hautafatwa
Jiwe na wasaidizi wake waliingilia Mahakama
 
Alipewa rushwa ya cheo. Ametimiza matakwa ya mteule wake. Sasa atapewa jaji mwingine atakayepangwa na yule jaji miongoni mwa wasiojulikana, jaji simba.

Marehemu kwa kuwapachika wasiojulikana kuwa majaji, aliua kabisa mfumo wa mahaka huru.

Uharibifu wa marehemu kwenye maeneo mbalimbali ya taasisi za utawala na serikali, itachukua miaka mingi kuurekebisha. Na bahati mbaya Hangaya naye, anaenda kiunafiki kuihadaa jamii ya kimataifa huku moyoni akiwa hana dhamira ya dhati ya kuondoa uchafu walioutengeneza wakati wa awamu ua 5.
Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia?
 
Mwamba mwenyewe , Mtemi Isike , Laingwanaan au kama anavyofahamika huko Zanzibar , Ustaadh Aboubakar Mbowe akiingia Mahakamani

View attachment 1980551
Duuh... Jela hakufai, yaani Mtemi Isike shati limejikunja kunja km limetoka mdomoni kwa ng'ombe?
Mnajazana mitandaoni mnashindwa hata kumpelekea Laigwani shati mzuri siku muhimu km Leo?
 
Chadema mnajionaga kama Mungu ni wenu peke yenu au nyie ni wema na wasafi hata Sabaya anatetewa na Mungu pia
Mungu Ni kimbilio la wanyonge, watu wasio na mamlaka Wala mtetezi, watu wanaoonewa kiholela!!

Sabaya anakili kuwa mambo aliyoyafanya alikua akitekeleza Maagizo ya mamlaka ya uteuzi na akasema hata Mpango anajua!!

Sasa ulitaka Mungu awe upande wa wauwaji, wanyang'anyi, wezi nk, haya mambo Ni ya kishetani na wote mnaoyafanya Ni Watumishi wa Ibirisi Shetani!
 
Amehongwa cheo na ameweka mzingira wezeshi Mbowe apotezwe. Tuzidishe dua Mungu aingilie kati kwa mara nyingine.
kachonga kakimbia.....

na Jaji atakayesikiliza mwishoni atakimbia then atakuja wa kusoma hukumu tu ya kifungo cha Mbowe cha maisha jela....baada ya hapo litafunguliwa shauri mahakama kuu la kuifuta CDM, litapita na 2023 CDM itakuwa haipo tena hapa duniani.
 
Huyu jaji ni kabila gani? dini gani? mwageni wasifu wake wote... ni lazima ajadiliwe hapa leo, tusimwache atuchezee nyeti zetu sisi ni watu wazima tunamzidi umri by the way.
Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia? Si ni mahakama hizi hizi tulishangilia
 
Back
Top Bottom