Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Corona inatisha sanaMbowe anasubiriwa ale mvua 30 damu ya Chacha wangwe inamlilia
Umechekea makatoniWapi nimecheka?
Ufunuo wa Yohana 21:8Mungu ni wa wote....
Wa matajiri na sisi vipato vya chini...
Wa viongozi na sisi tunaoongozwa....
Mungu akatukumbusha TUZITII MAMLAKA....
Pamoja mkuuOyaaa unalose focus leo ni kesi ya chair..ya jambazi sabaya ishaisha kwa 30 saafi
Jambo la msingi ni kumuomba sana Mungu asimamie hii kesi na hukumu yake.Kukubaliwa au kutokubaliwa kwa maelezo ya watuhumiwa na mahakama kuna nafasi kubwa kwenye kuamua kama hukumu ya mwisho itakuwa ya haki au isiyo ya haki.
Jaji wa hovyo kabisa kuwahi kutokeaJaji: MASAA MANNE lazima yazingatie isipokuwa yale yaliyoelezwa yamezingatiwa, ukishindwa hivyo Ushahidi huo haupaswi kupokelewa... Na mimi Narejea kesi ya Mahakama ya Rufaa kuwa kutokuzingatia sheria ya kifungu namba 51 katika kuchukua maelezo inaathiri ushahidi huo.
Mungu tetea watu wako
Wanauliza kabila wanataka kwenda kutambika[emoji23][emoji23][emoji23]Umeishiwa eee?!!![emoji1787][emoji1787]
Dini tena ?
Kabila tena ?!! Khaaa [emoji44][emoji1787]
AminaMUNGU ni mwema sana atampigania
Ingawa wabaya wake wanahitaji kumuangamizaMUNGU atamtetea tu
Jambazi halitakiwi uraianiMungu mbariki Sabaya, mtetee, muokoe pia mtoe katika mikono ya watesi wake!
Amina kubwaMuovu ataaibika na kupotea mbele za Mungu na wanadamu, ila mwenye haki atachomoza kama nuru ing'aayo sana huku akilakiwa kwa mioyo yenye furaha
Aliyepigwa kitu kizito anaoza taratibuuu kule kwenye wilaya pendwa...Tulia mpigwe na kitu kizito..mama keshasema kazi na iendelee. Tunaendelea tulipoishia
tunaomba jina lake alilopewa kwanza la utotoni alipozaliwa tuWanauliza kabila wanataka kwenda kutambika[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni jambo jema, but lolote linaweza kutokea before hiyo miezi 4, and inaonesha unafuraha kwelikweli na huu uamuzi wa leo...Jaji kasema ni miezi 4 mfululizo mbivu mbichi zinajulikana
Siasa za hovyo kabisaIngawa wabaya wake wanahitaji kumuangamiza
Ndioo, karibu kiumeni chadema.
Hatari snAliyepigwa kitu kizito anaoza taratibuuu kule kwenye wilaya pendwa...
Ndiyo maisha tunayo yaishi ndugu yanguSiasa za hovyo kabisa