Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mungu ni wa wote....

Wa matajiri na sisi vipato vya chini...

Wa viongozi na sisi tunaoongozwa....

Mungu akatukumbusha TUZITII MAMLAKA....
Ufunuo wa Yohana 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Kama Ni wa wote kwa Nini awapige kiberiti watu wa namna hii??

Haiwezekani uuwe, uchukize, uchukize afu Mungu akuchekee, NEVER'

Na bado mnastaajabisha Sana, yaani unanyanyasa mtu , unaua, kisa TU madaraka ya Duniani hapa!!!?

Hii nchi tumeikuta na tutaiacha pia Hakuna haja ya kuumizana na kuuana kwa sababu ya madaraka!!
 
Kukubaliwa au kutokubaliwa kwa maelezo ya watuhumiwa na mahakama kuna nafasi kubwa kwenye kuamua kama hukumu ya mwisho itakuwa ya haki au isiyo ya haki.
Jambo la msingi ni kumuomba sana Mungu asimamie hii kesi na hukumu yake.
 
Jaji: MASAA MANNE lazima yazingatie isipokuwa yale yaliyoelezwa yamezingatiwa, ukishindwa hivyo Ushahidi huo haupaswi kupokelewa... Na mimi Narejea kesi ya Mahakama ya Rufaa kuwa kutokuzingatia sheria ya kifungu namba 51 katika kuchukua maelezo inaathiri ushahidi huo.

Mungu tetea watu wako
Jaji wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
 
jaji: Kwa hiyo kwa hitimisho langu Naona Mapingamizi yote Mawili yamekosa Mashiko Kwamba Maelezo yalichukuliwa ndani ya Masaa Manne Kwa Ushahidi, Upande wa Utetezi walioutoa Na pia Maelezo yalitolewa na Mshitakiwa wa Pili kwa ridhaa yake.

jaji Kiongozi: Wakili wa Serikali Wakili wa Serikali: Naomba utoe Amri turejee katika Shauri la Msingi Jaji Kiongozi: Upande wa Utetezi? Peter Kibatala: Hatuna Pingamizi Mheshimiwa Jaji Kiongozi

Jaji Kiongozi: Sasa Kwa kuzingatia Maelezo yaliyowekewa Pingamizi nayapokea sasa Maelezo haya Kama Ushahidi, SASA tuta Break kidogo nifanye Consultation na Mawakili wa pande zote kisha tutarejea tena JAJI KIONGOZI ananyanyuka anatoka Nje

Mahakama bado haijarejea Usishangae akajitoa kuendelea na shauri hili.
 
Back
Top Bottom