Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Hicho tulikitarajia jaji kujitoa ili asilaumiwe, serikali Kama hamna ushahidi futeni kesi hiyo.hamtalaumiwa kwa kumpotezea MBOWE muda wake.mtaongeza hasira ,chuki na visasi vya Rai dhidi ya vyombo vya dola tukifika hapo nchi yetu itakuwa pagumu.hatuna nchi nyingine zaidi ya TANZANIA.
 
Ni jambo jema, but lolote linaweza kutokea before hiyo miezi 4, and inaonesha unafuraha kwelikweli na huu uamuzi wa leo...
Nina furaha mama anatupeleka kwenye maendeleo ya kasi huku akihakikisha usalama wa nchi ndani na nje ya mipaka yake uko shwari.
 
Labda kama ni watanzania wa nchi nyingine. Watanzania sisi hatutaki fujo. Sisi ni watu wa Kushangaa tu na Kujiuliza hivi kwanini jamani inakuwa hivi, kwakweli sio vizuri kabisa.
Baada ya hapo kila mtu anaendelea na mishe mishe zake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…