Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Tukuulize wewe Maana wewe ndiye makamu mwenyekiti wa vigaggula wa uvccmDaah kwa hiyo kila Kona TIGHT...nipe mawazo kamanda wangu tufanyeje sasa ?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukuulize wewe Maana wewe ndiye makamu mwenyekiti wa vigaggula wa uvccmDaah kwa hiyo kila Kona TIGHT...nipe mawazo kamanda wangu tufanyeje sasa ?!!
Yaani unaambiwa huyu ana magonjwa ya zinaa nenda kwa kuchukua tahadhari....unaikataa hiyo tahadhari na kuiita UOGA?!! 🤣🤣Ndiyo mkuu
Nina furaha mama anatupeleka kwenye maendeleo ya kasi huku akihakikisha usalama wa nchi ndani na nje ya mipaka yake uko shwari.Ni jambo jema, but lolote linaweza kutokea before hiyo miezi 4, and inaonesha unafuraha kwelikweli na huu uamuzi wa leo...
OkeyAlichokwa na kina kipara kipya maana ndiyo mwenyekiti wa vigaggula
Ushahidi wa video za CCTV tunaweka kundi gani?Hii kesi ya Mbowe ni kama ya Sabaya, Maana Hakuna Fiziko Evidensi ya Kumit alergation zilizoko Kwenye Chaji shiti ya Serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuYaani unaambiwa huyu ana magonjwa ya zinaa nenda kwa kuchukua tahadhari....unaikataa hiyo tahadhari na kuiita UOGA?!! 🤣🤣
Mahakama iko huru mankaTukuulize wewe Maana wewe ndiye makamu mwenyekiti wa vigaggula wa uvccm
Corona inatisha sanaMahakama iko huru manka
Samia hakubaliki hilo liko wazi,na wala watu hawana sababu kwa nini hawamkubali,yaani hapendeki tuJidanganye..
Sabaya alihukumiwa kwa ujambazi wa kuyumia silahaKuna wajinga wanafananisha hii kesi na ya SABAYA.
Ndio imesababisha gaidi anazungushwa mahakamani?Corona inatisha sana
Hapana mkuu binadamu ni kiumbe dhaifu mno mkuu wangu....Tukuulize wewe Maana wewe ndiye makamu mwenyekiti wa vigaggula wa uvccm
Imemuondoa Mungu wakoNdio imesababisha gaidi anazungushwa mahakamani?
Si mnashukuru Mungu kwa kumuondoa dikteta wenu?Samia hakubaliki hilo liko wazi,na wala watu hawana sababu kwa nini hawamkubali,yaani hapendeki tu
Mbona hadi mkwe wa gaidi imemuondoaImemuondoa mungi wako
Unaniambia mimi ili iweje kamanda?Mfungeni mbowe ili huku barabarani mtembee kwa amani
Baada ya hapo kila mtu anaendelea na mishe mishe zake 😂😂😂Labda kama ni watanzania wa nchi nyingine. Watanzania sisi hatutaki fujo. Sisi ni watu wa Kushangaa tu na Kujiuliza hivi kwanini jamani inakuwa hivi, kwakweli sio vizuri kabisa.