Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kwa kuwa ni mwanamke eee?!!Samia hakubaliki hilo liko wazi,na wala watu hawana sababu kwa nini hawamkubali,yaani hapendeki tu
Tuna changamoto nyingi za kimaisha zaidi ya kutiwa jazba koko na wanasiasa "matajiri wenye biashara kote duniani".......Baada ya hapo kila mtu anaendelea na mishe mishe zake 😂😂😂
Naona una hasira ya kupokelewa posa nyumbani kwenu kutoka kwa Bwana yako Sabaya bila kuiona ndoa! Mmeo Ni mke wa nyapara mpaka Sasa, tafuta Bwana mwingine akuoe au bado unauvundo wa mmeo sabaya??Baba yako ana hasara sana. Yaani hapa unatamani Mbowe angekuwa baba yako
Mtaendelea kutuhesabia kigoda kimetimiza siku ngapi ndichi? Zimekuwa ndizi mshale hizo mnahesabu siku za kupeleka sokoni? Last time zilikuwa 90... wacha ziozeeee ndumwa. Wazungu leo hawakusema kijikaze kigoda?Aliyepigwa kitu kizito anaoza taratibuuu kule kwenye wilaya pendwa...
Halafu anajitoa ...... Mimi nawashangaa wale wanaompigia Maza chapuo kuwa ni mpenda haki.....!!Hii nchi yetu Inachekesha sana, siku chache kabla ya hukumu mtu anapewa cheo.
Siku ya hukumu anatoa hukumu kwa Maoni yake
Yah right ..... Mahakama ya Pakstani iko huru kuliko ya Tanzania!!Mahakama iko huru manka
Hii haina tofauti na kumhonga mama, acheni kutoa hongo, sheria ifuate mkondo.Leo nimekupa Like yangu, Mama aache kubambakia watu kesi. Huku mtaani mama anafanya vizuri sana ni vyema akaachana na hii kesi ya mbowe itamuondolea yale mazuri yote ambayo ameanza kuyafanya ndani ya miezi 7 ya uongozi wake.
SAHIHISHO: Sabaya hajahukumiwa na jaji bwana, muwe mnafuatilia vizuri mambo ili kuepuka upotoshaji.Siwezi kushangilia hukumu yoyote, hata kama mibya haki lakini iliyopitia kwenye mikono michafu.
Sabaya ni mhalifu kwa ushahidi wa walio wengi. Mimi sina ushahidi.
Kilichonifadhaisha ni kujua kuwa hata jaji aliyemhukumu Sabaya ni miongoni mwa wasiojulikana. Wasiojulikana huongozwa na amri ya mkubwa wao, na sip mfumo wa mahakama.
Hivyo sina shaka kuwa hukumu ya Sabaya imefanywa kwa maelekezo. Jambo ambalo ninkosa kubwa.
Sabaya huyuhuyu!?? [emoji116]Mungu mbariki Sabaya, mtetee, muokoe pia mtoe katika mikono ya watesi wake!
Umefrahii eeeKila la heri kwake kaka Mbowe
Mahakama ndio kila kitu
Kwa Sabaya inasound tofauti sio!Cheka sana. Your day is coming.
Maisha ya binadamu aliyezaliwa na mwanamke Ni miaka sabini tu, ikizidi Ni miaka sabini na Saba.
Hapa tunapita tu.
Kumbuka upinzani sio dhambi hata huko CCM Kuna upinzani mkubwa tu.
Achana na stori za kifikirika kutoka hapo Roma, pambania kombe lako la hapa hapa…Hehehe mambo ya Pilato haya...pilato nae alijitoa baada ya kuona jamaa hana makosa
Aiseee!!!Wale beberu uchwara waliomtuma na kumpa vijisenti vya kukataa hata ruzuku wako wanamcheki mpaka mahakamani,atakubalije amekula vya watu?
Jaji anajitoa hivi hivi tu kirahisi! Nahisi ukweli umemuuma.Kutokana na uamuzi wa Jaji kujiondoa, kuna uwezekano mkubwa sana kesi ya mboa kufutwa ili kuifichia serikali aibu.
Jaji kujiondoa ni mkakati wa Jamuhuri, maana kesi hii Ingefichua mambo mengi sana ya aibu kwa serikali.
Soma vizuri hints za hukumu yake. Amenukuu vifungu vya 50(2) na 51 vinavyotoa exemptions juu ya masaa 4 ya kuchukua maelezo ya mtuhumiwa. Mambo ya sheria hayataki mahaba. Baki na mahaba yako na Mbowe lakini sheria itendee haki.Kwa kweli leo ni siku ya aibu katika tasnia ya haki nchini.
Jaji Siyani bila kunukuuu kifungu chochote cha sheria katoa maamuzi!
Hii ni hukumu ya kipekee sana, na Jaji Sitani kajiongezea CV!
Aibu!