Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Samia hakubaliki hilo liko wazi,na wala watu hawana sababu kwa nini hawamkubali,yaani hapendeki tu
Kwa kuwa ni mwanamke eee?!!

Kwa kuwa ni Mzanzibari mwanamke ee?!!

Ndio ameshakuwa Rais hivyo mwayego.....

#Kazi Inaendelea Kwa Kasi & Weledi zaidi
 
Kutokana na uamuzi wa Jaji kujiondoa, kuna uwezekano mkubwa sana kesi ya mboa kufutwa ili kuifichia serikali aibu.

Jaji kujiondoa ni mkakati wa Jamuhuri, maana kesi hii Ingefichua mambo mengi sana ya aibu kwa serikali.
 
Baba yako ana hasara sana. Yaani hapa unatamani Mbowe angekuwa baba yako
Naona una hasira ya kupokelewa posa nyumbani kwenu kutoka kwa Bwana yako Sabaya bila kuiona ndoa! Mmeo Ni mke wa nyapara mpaka Sasa, tafuta Bwana mwingine akuoe au bado unauvundo wa mmeo sabaya??
 
Aliyepigwa kitu kizito anaoza taratibuuu kule kwenye wilaya pendwa...
Mtaendelea kutuhesabia kigoda kimetimiza siku ngapi ndichi? Zimekuwa ndizi mshale hizo mnahesabu siku za kupeleka sokoni? Last time zilikuwa 90... wacha ziozeeee ndumwa. Wazungu leo hawakusema kijikaze kigoda?
 
Hii nchi yetu Inachekesha sana, siku chache kabla ya hukumu mtu anapewa cheo.

Siku ya hukumu anatoa hukumu kwa Maoni yake
Halafu anajitoa ...... Mimi nawashangaa wale wanaompigia Maza chapuo kuwa ni mpenda haki.....!!
 
Leo nimekupa Like yangu, Mama aache kubambakia watu kesi. Huku mtaani mama anafanya vizuri sana ni vyema akaachana na hii kesi ya mbowe itamuondolea yale mazuri yote ambayo ameanza kuyafanya ndani ya miezi 7 ya uongozi wake.
Hii haina tofauti na kumhonga mama, acheni kutoa hongo, sheria ifuate mkondo.
 
Siwezi kushangilia hukumu yoyote, hata kama mibya haki lakini iliyopitia kwenye mikono michafu.

Sabaya ni mhalifu kwa ushahidi wa walio wengi. Mimi sina ushahidi.

Kilichonifadhaisha ni kujua kuwa hata jaji aliyemhukumu Sabaya ni miongoni mwa wasiojulikana. Wasiojulikana huongozwa na amri ya mkubwa wao, na sip mfumo wa mahakama.

Hivyo sina shaka kuwa hukumu ya Sabaya imefanywa kwa maelekezo. Jambo ambalo ninkosa kubwa.
SAHIHISHO: Sabaya hajahukumiwa na jaji bwana, muwe mnafuatilia vizuri mambo ili kuepuka upotoshaji.
 
Hehehe mambo ya Pilato haya...pilato nae alijitoa baada ya kuona jamaa hana makosa
 
Cheka sana. Your day is coming.
Maisha ya binadamu aliyezaliwa na mwanamke Ni miaka sabini tu, ikizidi Ni miaka sabini na Saba.
Hapa tunapita tu.
Kumbuka upinzani sio dhambi hata huko CCM Kuna upinzani mkubwa tu.
Kwa Sabaya inasound tofauti sio!
 
Huyu Jaji takataka! Hata Hakimu wa mahakama ya mwanzo asingelitoa hukumu kama hiyo. case law hii inatosha kumwongoza Jaji kutoa hukumu ya haki. Na alipewa hii case law lakini kwa vile ana maelekezo, ndiyo kafanya ushetani huu.
 

Attachments

Kutokana na uamuzi wa Jaji kujiondoa, kuna uwezekano mkubwa sana kesi ya mboa kufutwa ili kuifichia serikali aibu.

Jaji kujiondoa ni mkakati wa Jamuhuri, maana kesi hii Ingefichua mambo mengi sana ya aibu kwa serikali.
Jaji anajitoa hivi hivi tu kirahisi! Nahisi ukweli umemuuma.
 
Kwa kweli leo ni siku ya aibu katika tasnia ya haki nchini.

Jaji Siyani bila kunukuuu kifungu chochote cha sheria katoa maamuzi!

Hii ni hukumu ya kipekee sana, na Jaji Sitani kajiongezea CV!

Aibu!
Soma vizuri hints za hukumu yake. Amenukuu vifungu vya 50(2) na 51 vinavyotoa exemptions juu ya masaa 4 ya kuchukua maelezo ya mtuhumiwa. Mambo ya sheria hayataki mahaba. Baki na mahaba yako na Mbowe lakini sheria itendee haki.
 
Back
Top Bottom