Nafurahia sana alivyo wapiga pini sukuma gangKwa kuwa ni mwanamke eee?!!
Kwa kuwa ni Mzanzibari mwanamke ee?!!
Ndio ameshakuwa Rais hivyo mwayego.....
#Kazi Inaendelea Kwa Kasi & Weledi zaidi
Kama ni aibu zipo nyingi hadi zinamwagikaKutokana na uamuzi wa Jaji kujiondoa, kuna uwezekano mkubwa sana kesi ya mboa kufutwa ili kuifichia serikali aibu.
Jaji kujiondoa ni mkakati wa Jamuhuri, maana kesi hii Ingefichua mambo mengi sana ya aibu kwa serikali.
Hawajui walifanyalo hao maana kwao kila jambo lifanywalo na mwana ccm ni bora tuHalafu anajitoa ...... Mimi nawashangaa wale wanaompigia Maza chapuo kuwa ni mpenda haki.....!!
Asingejitoa ningemuelewa. Kwa jinsi picha inavyofunuka ni kama movie vile tena Thriller.....!!Soma vizuri hints za hukumu yake. Amenukuu vifungu vya 50(2) na 51 vinavyotoa exemptions juu ya masaa 4 ya kuchukua maelezo ya mtuhumiwa. Mambo ya sheria hayataki mahaba. Baki na mahaba yako na Mbowe lakini sheria itendee haki.
AminaTumwombe tu Mungu aoneshe ufundi wake
UshamfukuzaYah right ..... Mahakama ya Pakstani iko huru kuliko ya Tanzania!!
Huyo ni zaidi ya vuvuzela la lumumbaUmefrahii eee
Kajitoa kwa aibu.Ushamfukuza
Hawa ni wakupuuza tu,Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia?
Hawa ni wakupuuza tu,Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia?
Ukweli mtupu!
Ameona aibu kwa hukumu yake ya uongoJaji Kiongozi: ni sawa tunapaswa Kunaendele na Shahidi Lakini nikaomba nishauriane na Mawakili. Sasa Nimeona kwamba Shauri hili ni Moja ya Shauri linalopaswa kuisha kwa haraka.
Jaji: Kama Shauri likienda mfululizo ingechukua Miezi kama Minne
Jaji: Hivyo kwa Majukumu niliyonayo nimeona nijitoe aje Jaji mwingine haraka iwezekanavyo zekanavyo
Jaji ananyanyuka anaondoka Zake.
Mbowe atatoka tuIngia barabarani kamanda ukinukishe ili Mbowe atoke
Ndio maana wamerudisha mahariSabaya asirudi maana tuna jambo letu kwa mchumba wake bana, kufa kufaana na kila mtenda mabaya humrudiaa.
Hiyo ndiyo dawa yao hao wapigania tumboKajitoa kwa aibu.