Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Kwa kuwa ni mwanamke eee?!!

Kwa kuwa ni Mzanzibari mwanamke ee?!!

Ndio ameshakuwa Rais hivyo mwayego.....

#Kazi Inaendelea Kwa Kasi & Weledi zaidi
Nafurahia sana alivyo wapiga pini sukuma gang
 
Jaji kamilisha alichokuwa amekiandaa kwa kushirikiana na mamlaka yake ya uteuzi,ila tumshukuru kwa kuona aibu na kujitoa kwenye shauri. Wacha tuendelee. Hii kesi inazidi kufunua mengi na pengine Mungu kaileta kwa muda muafaka. Tuendelee kufuatilia wapendwa.
 
Hawa wafuasi wa Mbowe wakiachiliwa waendelee na tabia zao za kishenzi za kupotosha, kutukana na kudhihaki vyombo vyetu vya kutoa haki ni hatari.
wanapaswa wakemewe haraka.
 
Kutokana na uamuzi wa Jaji kujiondoa, kuna uwezekano mkubwa sana kesi ya mboa kufutwa ili kuifichia serikali aibu.

Jaji kujiondoa ni mkakati wa Jamuhuri, maana kesi hii Ingefichua mambo mengi sana ya aibu kwa serikali.
Kama ni aibu zipo nyingi hadi zinamwagika
 
Wakuu naombeni mnielekeze, jaji kujitoa Ina maana gani? Naona watu wanalalamika jaji alivyojitoa Ina maana mbowe ameshahukumiwa kwenda jela?
 
Soma vizuri hints za hukumu yake. Amenukuu vifungu vya 50(2) na 51 vinavyotoa exemptions juu ya masaa 4 ya kuchukua maelezo ya mtuhumiwa. Mambo ya sheria hayataki mahaba. Baki na mahaba yako na Mbowe lakini sheria itendee haki.
Asingejitoa ningemuelewa. Kwa jinsi picha inavyofunuka ni kama movie vile tena Thriller.....!!
 
Kaona aibu huyo..kakimbia.

Pamoja na utopolo wa PGO woote ati kasema ni sawa...Tanzania hii hakuna linaloshindikana.
 
Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia?
Hawa ni wakupuuza tu,
Kwa Sabaya mahakama imetenda haki. Kwa Mbowe mahakama haitendi haki.
Wanapenda wayatakayo wao ndio yatokee nje na hapo hakuna haki.
Wao ndio mizani ya haki!
 
Mbona kwa sabaya ulikuwa unashangilia?
Hawa ni wakupuuza tu,
Kwa Sabaya mahakama imetenda haki. Kwa Mbowe mahakama haitendi haki.
Wanapenda wayatakayo wao ndio yatokee nje na hapo hakuna haki.
Wao ndio mizani ya haki!
 
Ukweli mtupu!
drakekidding.png
 
Jaji Kiongozi: ni sawa tunapaswa Kunaendele na Shahidi Lakini nikaomba nishauriane na Mawakili. Sasa Nimeona kwamba Shauri hili ni Moja ya Shauri linalopaswa kuisha kwa haraka.

Jaji: Kama Shauri likienda mfululizo ingechukua Miezi kama Minne

Jaji: Hivyo kwa Majukumu niliyonayo nimeona nijitoe aje Jaji mwingine haraka iwezekanavyo zekanavyo

Jaji ananyanyuka anaondoka Zake.
Ameona aibu kwa hukumu yake ya uongo

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom