Tunaomwamini Mungu wa Eliya hatuna wasi wasi kuwa Mungu wa Ibrahim na Isaka na Yakobo atawaongoza Mahakimu kutenda haki. Haki yote inayozidi ile ya mafarisayoTayari baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa Chadema pamoja na Wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa wamewasili .
View attachment 1980432
========
Kesi ya Mbowe ilitengenezwa na Kina Sabaya wakati ule wakiamini wao ni UntouchableWamwachie tu Mwamba arudi uraiani yule Sabaya mzushi tu!
Labda kama ni watanzania wa nchi nyingine. Watanzania sisi hatutaki fujo. Sisi ni watu wa Kushangaa tu na Kujiuliza hivi kwanini jamani inakuwa hivi, kwakweli sio vizuri kabisa.Mbowe Yuko na mamilioni ya watanzania serikali iko tested ikimuonea mbowe inaweza leta fujo na machafuko.
AmeniMungu mbariki mbowe mtetee, muokoe, pia mtoe katika mikono ya watesi wake!
Mungu ibariki CHADEMA!
Hilo ndio la Muhimu mengine ya kawaida tu.Muhimu haki itendeke
Jaji Mkuu akiwepo anaweza kuteleza ulimi tena kama ambavyo amekuwa akiteleza na kumfunga kifungo cha maisha.Kila la heri kwake kaka Mbowe
Mahakama ndio kila kitu
UnalaanaBaba yako ana hasarq sana. Yaani hapa unatamani Mbowe angekuwa baba yako
mbowe atashinda, utabaki na aibu na depression inakusubiri pembeni.Mbowe anasubiriwa ale mvua 30 damu ya chacha wangwe inamlilia
Namuona Mtumishi wa Mungu wa Kweli Yehova Jile, Askofu Emmaus Mwamakula..Tayari baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa Chadema pamoja na Wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa wamewasili .
View attachment 1980432
========
UPDATES;
========
View attachment 1980530
Wananchi wakiwaombea watuhumiwa akiwepo Freeman Mbowe walipowalisi katika viunga vya mahakama asubuhi hii.
Wamwachie tu Mwamba arudi uraiani yule Sabaya mzushi tu!
Ni Mpumbavu tu mwenye Mawazo kama yakoMbowe anasubiriwa ale mvua 30 damu ya Chacha wangwe inamlilia
kula kulala huyo mkuuNi Mpumbavu tu mwenye Mawazo kama yako
Acha unafki bwashee ππWamwachie tu Mwamba arudi uraiani yule Sabaya mzushi tu!
Siasa siyo uadui bwashee!Acha unafki bwashee ππ