Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Tayari baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa Chadema pamoja na Wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa wamewasili .

View attachment 1980432

========
Tunaomwamini Mungu wa Eliya hatuna wasi wasi kuwa Mungu wa Ibrahim na Isaka na Yakobo atawaongoza Mahakimu kutenda haki. Haki yote inayozidi ile ya mafarisayo
 
Tayari baadhi ya wanachama na viongozi mbalimbali wa Chadema pamoja na Wawakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa wamewasili .

View attachment 1980432

========

UPDATES;

========
View attachment 1980530
Wananchi wakiwaombea watuhumiwa akiwepo Freeman Mbowe walipowalisi katika viunga vya mahakama asubuhi hii.
Namuona Mtumishi wa Mungu wa Kweli Yehova Jile, Askofu Emmaus Mwamakula..

Mungu wa mbinguni ambariki sana.
 
Asante Kaka, tayari nishawasha kiko langu... nipo chini ya muembe nasubiri uhondo wa Jtano. Leo naibatiza kuwa JTANO YA PGO.
 
Polisi walijaribu kumzuia Baba Askofu Mwamakula asiingie Mahakamani , wakachemsha , akaingia na kuungurumisha maombi ndani ya kizimba

Askofu_mwamakula_ameingia_ndani_ya_chumba_Cha_mahakama_muda_huu_na_kuwaongoza_Mawakili_wa_Upan...jpg
 
Back
Top Bottom